Niko Dilemma

Jitahidi kumwangalia Hugo ambae moyo wako umefall ili kujiridhisha zaidi pole sana dadaangu
 
Hizi feelings sa nyingine zinadanganya......nakumbuka nami nilikuwa kwenye dilema....nikajidai A nampenda kuliko B .....nikampotezea B .... Baadse nae A akanipotezea....matokeo yake nikapoteza kote....

Bora anayekupenda kuliko huyo unayesema moyo ndo umemdondokea..... Moyo saa nyingine unadanganya.......
 
Ninyi mitetea acheni tabia yenu ya kukimbiza majogoo jamani, acheni majogoo yawakimbize!.... Itakula kwenu, believe me!
 
wewe, mpe mashine apige huyo unae mtamani, dhen ndoa funga na huyu wa kwanza, ila nikushauri kitu muhimu husimuumize mtu maana dhambi ya kumuumiza itakuchoma mbinguni
 
Mmmh! Ndoa ni pana na inachangamoto zake nyingi tu bidada! Mapenzi ni hisia kama umeshindwa kumpenda huyo the first hadi umekuja humu kutaka ushauri naamini hata ufunge ndoa naye hutokaa umpende katu!kwani atakuwa kabadilika nini labda?! Usijidanganye eti utajifunza kumpenda! Wee! Kama unataka kufunga ndoa ili umridhishe huyo jamaa na jamii yako uishi maisha ya kupretend katika maisha yako yote OLEWA!(Hapa ndipo wanawake wengi hukosea)kama unataka kuishi ukiwa na amani moyoni SUBIRI.sikushauri uwe na hako kajamaa kengine !kuna mdada alishakujaga hapa kujuta jinsi gani anavyoteseka moyoni kuolewa na mtu asiyempenda.nilimuelewa alichomaanisha.Subiri!
 
...otherwise maisha ni yako fanya vile akili yako inataka.
 
Rusha roho taratibu hiyo shoga
Angalia usijekuwa story
Usijekuwa mfano
Usijekuwa tukio bidada
Penda unapopendwa utulizane....
You are right my friend rubii hata katika Biblia yenu imeandikwa kuwa mwanamke hupendwa na mwanaume hupenda. Ni hatari mwanamke kupenda. Katika maisha hasa ya ndoa lazima mwanamme apende na mwanamke apendwe. Ukiona mwanamke anapenda jua hiyo ndoa ipo mashakani. Mwenye masikio na asikie
 
U
Up sahihi bora kupendwa kuliko kupenda.
Ni rahisi kuumizwa
 
dear sio rahic kuishi na mtu unayempenda. Nilipita katika wakati kama wako, lkn ckufanya kosa nilimchagua anayenipenda sasa ni mwaka wa 9 ndoa yangu inaamani na furaha, nimejifunza kumpenda mume wangu na sasa nampenda sana. life is not a rehearsal.
Ahsante kwa kunitia moyo dear
 
ahsante sana mkuu...I will do that
 
Ahsante Mkuu
 
Unajitafutia tu kuja kujuta baadaye. Unashindwa nini ku stick na mwanaume anayekupenda na kukujali? Huyo brazameni wako atakugharimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…