Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Maswala ya kumshirikisha Mungu hayahitaji mzahaa hata kidogo kama ilivyo siku hizi mtu yupo kanisani kwenye maombi huku anawaza atatoka saa ngapi ili akaingie JF na FB!!...... Maswala ya kumshirikisha Mungu yanahitaji mtu awe na imani kali pamoja na misimamo mikali kama akina Sara walivyofanya!To men I do agree .. Men are impossible.. As I have said kwa nilichowahi kukiona before and both those couples still together until now wanaishi kwa amani .. Kinachotakiwa ni msimamo tuu .. Na ndio maana nimemuambia afunge na kuomba kuhusu huyo kaka anayemmpenda huyo dada asikie amani ya Mungu inasemaje moyoni mwake .. Hapa its not about her heart its about God`s plans toward her destiny .. Thanks..