Niko Dilemma wana MMU...

Ukitilia maanani jinsi ilivyokuwa ngumu miaka hii kupata mdada unayempenda sana kiasi cha kuona anastahili kuwa Mkeo na yeye kukuona unastahili kuwa Mumewe, huu ushauri pia ni nzuri, ila hakikisha na uwe na uthibitisho kwamba kweli wameachana. Usikubali tu maneno ya mtarajiwa kwamba, "nimeshamwambia kwamba mimi nimepata mchumba kwa hiyo mahusiano yetu mimi na yeye yamefikia ukomo" Kila la heri Mkuu nasubiri card ya mchango na mwaliko wa kuja kujirusha kwenye harusi yenu :):). Usisahau kurudisha feedback ya nini kinaendelea.

Sawa mkuu lazima nirudishe Feedback kwenu wana Jamvi, kikubwa tuombe pumzi tu.
 
Ndg nakushangaa. Unasema kuwa unajua kabisa huyu mama anamegwa na jamaa mwingine lakini hayo hayakuumizi. Umeamua kuwa sasa unataka kuvuta sebuleni upeleke ndani; weye ni zaidi kabisa tena una moyo mgumu ka jiwe.
Utajisikiaje kama jamaa atakuja naye amkumbushe mema alio mtendea halafu amwambie waendelee kama kawa? Huwezi kumnyima fursa hiyo kwani hata weye unajua wazi kuwa ndiye aliyemfikisha alipokuwa ukamkuta.
Jambo lingine ni, unajisikiaje weye unapomkuta ndiyo siku hiyo mwenzio ametoka hapo nyumbani labda mchana huo tu. Ndg yataka moyo. Wenzio hatuna moyo huo, hata kama ni mke wa mtu dushe haisimamishi mkono

Mkuu kupenda upofu hayo yote huoni hapo ndio naamini mambo ya wahenga ngoja yakukute maana nilishawasema sana rafiki zangu abt kushare mapenz.
Pili mi nimeweza mkuu tena hadi nataka awe wife kweli ni zaid ya Moyo unahitaji,,,mkuu kwasasa hivi sidhani/huwezi kupata dem/Mke asiemegwa ukitaka hivyo kata mgomba uwe peke yako.
 
Mimi ni kijana around 30yrs kuna Binti mmoja naDate nae for 3ys now tokea ye yupo chuo mwaka wa kwanza hadi anamaliza,sasa imefikia kipindi nahitaji kumuoa kwa kweli ukizingatia tupo dini moja na nampenda na ananipenda pia.

Sasa ishu inakuja hivi,,jinsi nilivyompata huyo Binti ni Left foot kwamba nilimkuta na mtu wake wapo kwenye mahusiano na yeye aliniambia ukweli wote kuwa ana mtu wametoka mbali na kamsaidia mambo mengi tokea anasoma chuo(jamaa alikuwa anafanya kazi kipindi hicho anasoma) kama ujuavyo tena Wanaume hatukubali kushindwa nikaomba walau urafiki tu, tukaanza outing za hapa na pale mwisho wa siku Automatic tukajikuta wapenzi na kulila lile tunda. Binti akawa anatuchanganya mi na jamaa ila mimi najua mchezo mzima ye jamaa hajui lolote lile hadi sasa hivi kwa muda wa miaka mi3. Na Binti anataka nimuoe maana jamaa hajawahi kumgusia hilo neno hata siku moja pia wapo tofauti dini zao jamaa ye ni Muislam.

Mosi, sasa wasiwasi wangu ni huu jinsi nilivyompata huyu Binti na ukizingatia bado ana mahusiano na sisi wote na alishaniambia ye yupo tayari kumuacha jamaa kama nikiwa tayari kumuoa.
Pili, Inaelekea Binti bado anampenda kiasi flani jamaa hasa alivyomsaidia kipindi hicho anasoma.

SERIOUS hii ishu naomba utani pembeni. Mwerevu hupimwa na majibu yake Mjinga nae hupimwa kwa majibu yake sasa ili usionekane mjinga kama huna cha kunisaidia ni bora ukawa msomaji tu.

Mimi pamoja ujinga wangu hua ninakinyaa kushea mwanamke kama mbuzi so sina ushauri
 
hiyo inaitwa 2tabanana hapahapa mpaka kunakucha.mkuu usihofu we kazana but make sure unatumia good tekniks na unakuwa makini katika kumshawishi huyo binti aachane na huyo jamaa! ukiona haeleweki just mwambie ukweli then leave her away...Inaelekea anakupa mambo haswaaa! Hadi unataka kuchonga mzinga haha just kiding!! Kila la kheri!
 
Hahahaha eti tutabanana hapahapa lol,,,kweli aisee wifi yako ananifikisha haswaa yaani hadi najionea sawa tu kila kitu na sio kwamba nimewajulia ukubwani w/wake noo nilikuwa Player ila Alhamdulillah nimepima niko Ok sasa ndio nimetuliza Majeshi hapa.
 
Mimi ni kijana around 30yrs kuna Binti mmoja naDate nae for 3ys now tokea ye yupo chuo mwaka wa kwanza hadi anamaliza,sasa imefikia kipindi nahitaji kumuoa kwa kweli ukizingatia tupo dini moja na nampenda na ananipenda pia.

Sasa ishu inakuja hivi,,jinsi nilivyompata huyo Binti ni Left foot kwamba nilimkuta na mtu wake wapo kwenye mahusiano na yeye aliniambia ukweli wote kuwa ana mtu wametoka mbali na kamsaidia mambo mengi tokea anasoma chuo(jamaa alikuwa anafanya kazi kipindi hicho anasoma) kama ujuavyo tena Wanaume hatukubali kushindwa nikaomba walau urafiki tu, tukaanza outing za hapa na pale mwisho wa siku Automatic tukajikuta wapenzi na kulila lile tunda. Binti akawa anatuchanganya mi na jamaa ila mimi najua mchezo mzima ye jamaa hajui lolote lile hadi sasa hivi kwa muda wa miaka mi3. Na Binti anataka nimuoe maana jamaa hajawahi kumgusia hilo neno hata siku moja pia wapo tofauti dini zao jamaa ye ni Muislam.

Mosi, sasa wasiwasi wangu ni huu jinsi nilivyompata huyu Binti na ukizingatia bado ana mahusiano na sisi wote na alishaniambia ye yupo tayari kumuacha jamaa kama nikiwa tayari kumuoa.
Pili, Inaelekea Binti bado anampenda kiasi flani jamaa hasa alivyomsaidia kipindi hicho anasoma.

SERIOUS hii ishu naomba utani pembeni. Mwerevu hupimwa na majibu yake Mjinga nae hupimwa kwa majibu yake sasa ili usionekane mjinga kama huna cha kunisaidia ni bora ukawa msomaji tu.

Alichokifanya kwa huyo jamaa anaweza akakifanya hata kwako, au unafikiri wewe ni special case? Ameshaonesha what she is capable of doing!!!
 
Dah! Kweli mkuu mnazidi hadi kunipa hofu.
 
Ushauri wangu achana na huyo binti hio kitu itakurudia! maana hapo inaonyesha binti ataendelea kutoa fadhira tu za kusomeshwa na wakati ameshakua mke wa mtu!! Mke anauma sana unapooa katika chain hio basi kua radhi kugongewa
 
Kumuachanisha na jamaa siwezi japo roho inauma.

Wewe muoe na uendelee ku share na jamaa,mbona mme share kwa miaka mitatu tena ukiwa unajua kila kitu na hukuona tatizo?
Wewe ulikuwa unamuibia jamaa sasa umekolea chukua jumla jamaa naye akuibie.
Sharing is caring.
 
Ok,,sawa mkuu hata mimi niliona kinyaa mwanzoni lakini sasa hivi ni Burudani tu tena bora umegewe ukijua kuliko hujui.

Sasa tatizo liko wapi hapo?
Hebu oa bwana mbadilishane vyeo na jamaa,sasa hivi wewe ndio mwizi ila ukishaoa yeye ndio anakuwa mwizi!!!!!:bange:
 
Mimi pamoja ujinga wangu hua ninakinyaa kushea mwanamke kama mbuzi so sina ushauri

ni ubwege,unashare mwanamke kisha unasema anakupenda,mara anampenda jamaa,hata simuelewi km akili yake iko poa,kushare mwanamke,knowingly kabisa?tena unataka uoe,?jamaa ataendelea kujimegea km kawa.
 
Back
Top Bottom