Niko Dilemma wana MMU...

Wewe muoe na uendelee ku share na jamaa,mbona mme share kwa miaka mitatu tena ukiwa unajua kila kitu na hukuona tatizo?
Wewe ulikuwa unamuibia jamaa sasa umekolea chukua jumla jamaa naye akuibie.
Sharing is caring.

Haya mkuu ahsante kwa ushauri wako.
 
kama wewe unavyomvua jamaa/unambebea demu wake ...nawewe watakuvua/watakubebea mkeo....note in mind the same girl....
itakuwa anasema hivyohivyo huyu mme wangu alinioa kipindi nahitaji mme ila simtaki tena
 
we ishu ipo wazi.. Survival of the fittest... Weka ndani tia mimba au virse versa is true! As long as mna vigezo binti amuache mjamaa aje kwako.. Nawewe zidisha mbwembwe bana..kwani ela huna??ongeza midundo nakazalika... Vuta kitu tulieni..
 
Mazingira uliyompata huyo demu haistahri umuoe!
take it frm me man, she gonna ruin you very persistently. Najua at first ulpotezea kuhusu sharing na kujiona kuwa kdume kwa kuopoa demu wa mshikaji. Sasa mfanye kuwa mkeo ndo utayaona madhara yake period.
Huwezi jua mshikaji kasamehe mangapi mpaka kumfksha hapo alpo huyo demu. Huyo mwanamke anadhambi na shetani anamsumbua.
She wont 4get whom criated her in anyway haijalshi wameachana ktambo kpi ila jamaa ataendelea kuwa reference always.
 
Ahsante Bi.dada kwa ushauri wako,,,,lol eti niongeze midundo.
 
Mazingira uliyompata huyo demu haistahri umuoe!
take it frm me man, she gonna ruin you very persistently. Najua at first ulpotezea kuhusu sharing na kujiona kuwa kdume kwa kuopoa demu wa mshikaji. Sasa mfanye kuwa mkeo ndo utayaona madhara yake period.
Huwezi jua mshikaji kasamehe mangapi mpaka kumfksha hapo alpo huyo demu. Huyo mwanamke anadhambi na shetani anamsumbua.
She wont 4get whom criated her in anyway haijalshi wameachana ktambo kpi ila jamaa ataendelea kuwa reference always.

Mkuu upo right sana sasa hayo mazingira nilivyompata hata mimi nayaogopa kwa kweli ila ndo hivyo sasa mkuu nimefika pale.
 
Nilikubali kuchanganywa sababu sikuwa na ishu nae zaidi ya kupiga mzigo sasa nimeonja Asali nataka kuchonga na mzinga kabisa.....Hahahaah kina Mushi wameenda Hijja Moshi .

Okay naweza kukuelewa ila fanya kama ulivoshauriwa....Mwambie.mhakikishie unamwoa ila kwa shrti pia kwamba aachane na huyo jamaa yake, na ikibidii akakutambulishe kwake kwamba ni mchumba wake...mvishe pete ya uchumba kishkaji afu wmambie akamwweleze jamaa kwamba ana mchumba na atakuja kumtambulisha....ili mradi "waaachane" kabla ya wewe kutia maguu kwenye ndoa mazima....otherwise tutakuwa tunazungumza habari za "kuchapiwa ni siri ya ndani"...upo apo
 
wewe mademu wakuwala tigo wewe wataka kuwafanya wife...be serious man. she aint wife material.

alafu wajidanganya sana...umesema jamaa muslim na wala hajamuonheleaha demu kuhusu ndoa...that shuld tell u kuwa jamaa treats that lady kama hawara na kwamba eti hajui kuwa wee una uhusiano na huyo demu its becoz halishaona kuwa huyu binti ni wakugegeda tuu.

sasa be smart...endelea kumgegeda huyo binti but forget abt marrying her.
 
Hahah we kweli ndio mzabzab haya mkuu nashkutu kwa msaada wako.
 
Last edited by a moderator:
Jamaa hamtamkii mambo ya ndoa kwasababu dini zao tofauti. Huenda na yeye yupo kwa dilemma ya dini si ajabu na yeye anatafuta wa dini yake. Oa tu kama huna wivu
 
Back
Top Bottom