Unamshauri aibe mtoto? Si u dwanzi huu kushauri anyang'anye mtoto tena mtoto mwenyewe hata miaka mi 2 bado, tena familia yenyewe hiyo ya kivisasi visasi mwambie ajaribu aone kama hatoendelea kujutia badala ya kupata ahueni
Nani kamshauri amuoe sasa? Acha kukurupuka wapi nimemwambia mtoa post amuoe huyo mwanamke!? Hizi akili za ki frank frank za hovyo sanahakuna mke hapo, mwanamke gani huyo..! siwezi kumshauri aingie matatizoni, kosea vyote ila sio kuoa.
ishu sio kuiba mtoto, atumie sheria kumpata mtoto, inawezekana maana mama yake kashindwa kumtunza afya yake inazidi kuwa mbaya.
Nani kamshauri amuoe sasa? Acha kukurupuka wapi nimemwambia mtoa post amuoe huyo mwanamke!? Hizi akili za ki frank frank za hovyo sana
Uliposema hakuna mke ulimaanisha nnkwani nani kasema umemwambia mtoa post aoe? au na wewe umekurupuka?
Ushauri wa giza huo mkuu. Huyo mwanamke ni mjinga na mkatili. Jamaa akiishi nae atajuta maisha yake yote. Kwanza jamaa ashasema hampendi huyo mwanamke kwa hivyo wakiishi pamoja itakuwa vurugu kiasi kwamba mtoto ataathiriwa kisaikolojia katika makuzi yake. Hapo apigane kisheria na atumie hizo sms za kumtakkia mabaya mtoto kama alivyoshauri mdau mmoja huko ktk post za mwanzo.Wala usihofu nakupa ushauri kutoka moyoni, kama huyo ni mtoto wako na yote hayo yametokea na una uwezo wa kuwahudumia nakushauri umrudishe Dar.
Anza nae maisha na kuishi pamoja kwani anakupenda, (kwa maneno uliyoandika)
Maisha ni mafupi anza nae kama familia you will never regret
nimeuona uchungu mkubwa uliokujaa ndani ya moyo wako naamini kwa 97% kuwa moyo unakuuma sana ukitufiria sisi wavulana/wanaume pole kwa kilichowahi kukuta ila...kumbuka ili ukamilike lazima upate furaha na muda mwingine uhuzunike sana kisha maisha yaendelee na mbaya zaidi siku hizi vidonda vingi na maradhi mengi ya moyo chanzo ni mapenzi....kwakuwa tuliyakuta na tutayaacha hatuna budi kuyapa mgongo na kufanya kazi kwa juhudi.Mkuu ungemshauri tu hata kumchukua asimchukue angeenda tu kuzaa na uyo mama yake, unafanya kuzaa kitu mchezo eeh mimi nawaonaga wa ajabu sana mwanaume anayemnyang'anya mtoto mwanamke na kumkabidhi mama yake mzazi amlelee!
We ni mtabiri au shankupe? Maana kama unayashuhudia maisha yangu basi we m- mbea sananimeuona uchungu mkubwa uliokujaa ndani ya moyo wako naamini kwa 97% kuwa moyo unakuuma sana ukitufiria sisi wavulana/wanaume pole kwa kilichowahi kukuta ila...kumbuka ili ukamilike lazima upate furaha na muda mwingine uhuzunike sana kisha maisha yaendelee na mbaya zaidi siku hizi vidonda vingi na maradhi mengi ya moyo chanzo ni mapenzi....kwakuwa tuliyakuta na tutayaacha hatuna budi kuyapa mgongo na kufanya kazi kwa juhudi.
samahani sikuwa na nia mbaya....nisamehe sanaWe ni mtabiri au shankupe? Maana kama unayashuhudia maisha yangu basi we m- mbea sana
Umeandika vzr sana hongera,1;USIKUBALI KUOA WALA KUMRUDISHA DAR,KWANZA OMBA CHETI CHA CLINIC UJUE JINA LA BABA NI KWELI LA KWAKO?
2;HAPO UNAUDUMIA FAMILIA 2 NA INAWEZEKANA WANA MIPANGO MINGINE JUU YA KUKUNYANYASA KWA KUKUCHUNA .
3;NENDA POLISI TAFUTA BENCHI LA JINSIA WAKUPE UTARATIBU WANAMNA YA KUMUHUDUMIA MTOTO.
4;USITUME PESA YOYOTE ACHA MTOTO AKUE AKIFIKIA KWENDA SHULE WEWE UTAKUWA UNAMLIPIA ADA DIRECT SHULENI NA KUPITIA KWA MTOTO MWENYEWE.KAMA WAKWAKO WAKWAKO TU KATA MAWASILIANO NAO MTOTO ATATUNZWA .
5;USIOE HAPO UTAKUJA KUJUTA HIYO NI DALILI MBAYA
Akili za hovyo hizi kutegemea mtoto wako atunzwe na watu wengine wakati wewe unastareheMTOTO ATATUNZWA TU LABDA KAMA SIO WA MOSHI
Mkuu kindly I want to make a clarity on this 4 what I under stand the issue here is not about how & in which modality the litle one should be taken a good care but both parents have childish altitude in this what I think elders should make a arrangement on how this can be setledFrom a hit and run mission, to a heat and can't run, one.
Inaonyesha mzazi mwenzio ana akili za kushikiwa. Since umejaribu kuwatunza na imeshindikana, then anza utaratibu wa kumchukua mtoto kisheria. Hizo msgs za kusema mtoto bora afe sijui nini, plus kuacha kumnyonyesha ni vithibiti tosha huyo bibie hastahili kuwa mlezi.
Uliposema hakuna mke ulimaanisha nn
Usiangalie watu wanasema nn humu, toa ushauri wako personnaly usifate mikumbomiongoni mwa majibu ambayo wengi wanatoa ni:
*kumchukua mtoto, *kumuoa huyo mwanamke, hayo ndio majibu makubwa, ndio maana nami niliposhauri akamchukue mtoto na wewe ukaonesha kutoafiki, moja kwamoja nikaitolea nje point ya kuoa na kusisitizia ya kumchukua point ili unapokuja na point nyingine iwe out of hizo nilizoziongelea
Mkuu huo umri unaotajwa kisheria ni kama itathibitika mama anaweza kumtunza mtoto (sio kifedha tu). Sheria inaweza kuruhusu au kulazimisha baba amchukue na kumlea mtoto hata wa chini ya miezi miwili ikiwa imethibitika mama atashindwa kumpatia mtoto malezi bora/salama mtoto husika. Mfano kama akili au tabia ya mama inaweza kumdhuru au kumuathiri mtoto au kuweka hatarini maisha ya mtoto.Usiangalie watu wanasema nn humu, toa ushauri wako personnaly usifate mikumbo
Unajua iyo kisheria mtoto anatakiwa kuchukuliwa na baba yake akiwa umri gani!! Hatuwez muhukumu uyo dada kwa kumnyang'anya mtoto kwa kosa La kusema mtoto afe,
Kwaiyo mkuu uyo dada ahukumiwe kunyang'anywa mtoto kwa lipi sasa hapo?Mkuu huo umri unaotajwa kisheria ni kama itathibitika mama anaweza kumtunza mtoto (sio kifedha tu). Sheria inaweza kuruhusu au kulazimisha baba amchukue na kumlea mtoto hata wa chini ya miezi miwili ikiwa imethibitika mama atashindwa kumpatia mtoto malezi bora/salama mtoto husika. Mfano kama akili au tabia ya mama inaweza kumdhuru au kumuathiri mtoto au kuweka hatarini maisha ya mtoto.
Ni kweli mnasema fashion lakini sheria mahakamani hazitafsiriwi kwa misingi ya fashion ambazo zinatishia maslahi na haki za msingi za watoto. Mambo ya malezi ya mama hayo ngoja nisijadili niwaachieni wadau mnaojua zaidi kuhusu haki hizo.Kwaiyo mkuu uyo dada ahukumiwe kunyang'anywa mtoto kwa lipi sasa hapo?
Kwa kumuachisha ziwa (hii ni fashion Sikh hz,wanyonyeshaji twaogopa maziwa yasiwe Malapa)
Au kwa kusema mtoto hana Afya, hivi Huyo dada hana akili ya kumtunza mwanae lakini hata bibi wa mtoto nae? Hii si kawaida cha muhimu Huyu kaka afwate taratibu amuite mwenzie kama ni kukosoana wakosoane huko huko ustawi wa jamii au dawati la jinsia wawekeane maazimio ya kumtunza mtoto, malez ya mama ni muhimu pia