Mkuu nilikuwa na uwezo wa kwenda hata polisi maana vile vitu nilinunua nikaweka kila kitu yeye nimemwamishia tu na bag lake na la mtoto kila kitu alikuta kimepangwa kiko tayari mashahidi ni mwenye nyumba na majirani.Du ndugu pole kaka, ila nakupongeza sana ndugu yangu una moyo wa utu, tena utu haswa na umejiyaida mno mpaka hapa ulipofikia na una moyo aisee,kama ingekuwa ni mimi kwanza kitendo cha kuondoka nilipompangia na kubeba kila kitu pasipo kuniambia,na ukawa na moyo wa kumtafuta mpaka kwao na ukafika na kupigwa juu aisee pole ila tunatofautiana sana wanaume,kwanza kitendo cha kupigwa ukweni pasipo na makosa hilo pekee ni kosa la jinai aisee,mimi nigeleta kirikuu napakia kila kitu nilichonunua na sitaangalia nyuma mpaka waje waombe radhi kwa wazazi wangu/wanaume wa siku izi sijui ni nini shida aisee,kama hapo ikishindikana waende kwenye vyombo vya sheria ukajieleze huko usitishike aisee eeebo
Here Is When You Know Some Shits Arw Serious Than We Think. Vituko Vingine Ukipishana Navyo Njiani Viache Vipite Tu Hata Kama Ni FUCKABLE. Angalia Izi Stress.From a hit and run mission, to a heat and can't run, one.
Inaonyesha mzazi mwenzio ana akili za kushikiwa. Since umejaribu kuwatunza na imeshindikana, then anza utaratibu wa kumchukua mtoto kisheria. Hizo msgs za kusema mtoto bora afe sijui nini, plus kuacha kumnyonyesha ni vithibiti tosha huyo bibie hastahili kuwa mlezi.
Dah! Jamaa anatia huruma kweliYaani wanaume ndio maana tunalogwa tu saa zingine kweli tunazingua
Nani wa kuendesha biashara hapo? Akimfungulia ofisi atakuwa kaufungulia ukoo mzima. Kuna wanawake wana akili za kushikiwa. Wao kufurahisha wengine ni kama kilema na wakati mwingine sio kupenda kufurahisha wengine ila ni kutafuta kuheshimika au sijui ni kutaka kutambulika niseme? Kutokana na hilo, wanaweza kufanya upuuzi mwingi sana tena bila kujitambua wanafanya nini. Unaweza kukuta mwingine yuko tayari agawe hela kwa kila anaemwomba mradi wana undugu tu. Refer kwenye matumizi ya groceries, unadhani mtu mzima anamaliza kilo nane za sukari kwa muda mfupi hivyo? Leo apewe biashara? Huyo anajulikana hata kwao kuwa akili zake zikoje, ndio maana jamaa kawekewa condition ya kuoa maana wanajua she can not carry herself kwa hiyo wanaona wakimruhusu amchukue mtoto peke yake, watapoteza fursa ya kumuoza.Mi nilijua kaamishia vtu kwa mcheouko kumbe kwao.Mludishe bna,makosa madogo madogo km ayo husameheka mkuu.Tena hakikisha unamtafitia na kazi au hata kumfungulia kiofis kidogo ili ajitegemee kiuchumi.
Hii kauli haiko sawa. Jukwaa la wastaarabu hili, hatuendekezi elements za aina hii!Mama alinikataza.nisiwe.na mazoea na wachaga
Lakini utambue pia kuwa watu hubadilika.Unaweza muona hafai kwa ivyo visome elelements ILA bdae ndio akawa the best wife.Nani wa kuendesha biashara hapo? Akimfungulia ofisi atakuwa kaufungulia ukoo mzima. Kuna wanawake wana akili za kushikiwa. Wao kufurahisha wengine ni kama kilema na wakati mwingine sio kupenda kufurahisha wengine ila ni kutafuta kuheshimika au sijui ni kutaka kutambulika niseme? Kutokana na hilo, wanaweza kufanya upuuzi mwingi sana tena bila kujitambua wanafanya nini. Unaweza kukuta mwingine yuko tayari agawe hela kwa kila anaemwomba mradi wana undugu tu. Refer kwenye matumizi ya groceries, unadhani mtu mzima anamaliza kilo nane za sukari kwa muda mfupi hivyo? Leo apewe biashara? Huyo anajulikana hata kwao kuwa akili zake zikoje, ndio maana jamaa kawekewa condition ya kuoa maana wanajua she can not carry herself kwa hiyo wanaona wakimruhusu amchukue mtoto peke yake, watapoteza fursa ya kumuoza.
Ila si kitu cha ajabu, kuna wanaume wengi wako hivyo pia.
Unajuaje kama mama ana maradhi? Kqa sheria zetu za Tanzania bado mama ana nafasi ya kukaa na mwanae kinachohitajika ni utulivu wa kisaikolojia tu, yaonyesha mama hajawa matured enough kulea mtotoFrom a hit and run mission, to a heat and can't run, one.
Inaonyesha mzazi mwenzio ana akili za kushikiwa. Since umejaribu kuwatunza na imeshindikana, then anza utaratibu wa kumchukua mtoto kisheria. Hizo msgs za kusema mtoto bora afe sijui nini, plus kuacha kumnyonyesha ni vithibiti tosha huyo bibie hastahili kuwa mlezi.
Unamshauri aibe mtoto? Si u dwanzi huu kushauri anyang'anye mtoto tena mtoto mwenyewe hata miaka mi 2 bado, tena familia yenyewe hiyo ya kivisasi visasi mwambie ajaribu aone kama hatoendelea kujutia badala ya kupata ahuenihakuna haja ya kukupa pole mkuu na ndio uache masuala ya hit & run bila tahadhari.
Ninakushauri tumia hata nguvu kumchukua mtoto kama kisheria haiwezekani, huo umri mwaka na miezi 8 inamtosha kabisa kutoka mikononi mwa mama yake,,,, huyo mama mtelekeze tu kaka humpendi, na kama unamwonea huruma basi uwe unawasiliana naye tu sio ishu za kumtumia tena pesa.
Kaa na mtoto, upatie mahitaji yake, maisha yaendelee..... hakuna dilemma hapo, kitu kiko staight
Mkuu ungemshauri tu hata kumchukua asimchukue angeenda tu kuzaa na uyo mama yake, unafanya kuzaa kitu mchezo eeh mimi nawaonaga wa ajabu sana mwanaume anayemnyang'anya mtoto mwanamke na kumkabidhi mama yake mzazi amlelee!Aisee sema na moyo wako ukikuambia umuhitaji achana naye haraka...chukua mwanao mpe mama akuleleee...mimi nadhani huyo mwanamke hafai na ajui maisha.