pantheraleo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 692
- 887
Nikki wa kundi la weusi linaloundwa na Joh makini,Gnako na yeye mwenyewe,amepata shahada ya uzamili katika maendeleo kutoka chuo kikuu cha UDSM.Hongera msanii wetu. Source:Milard ayo
heaven on desert hebu tujurishe kiwango chs elimu ya Diamond.
Mbowe ajifunze kwa Nikk sbb Siasa bila Elimu
jokate vipi hajagraduate??? Si walikua pamoja na huyu
Me ni mzuri kuliko huyo@Deo corleoneeti ni kweli kuna mtu kanambia hapa kuwa dada aliyeko kwenye picha na nick ni wewe.