Nikki wa Pili jifunze jambo hili kwa Wakazi

Ukitaka kugombana na kasomi Ka Nikki wa pili we kaaambie kaandike maneno haya ; Vizuri,Dhamira, dhambi, mrembo, ruka, barabara.
 
Weus hip hop haon n kama ilienda na maji

stidy
Nako 2 Nako waliiweza hip hop,

Album yao nliisikiliza yote, ila hii vision ya Weusi aiseeh kwa sasa hawaonekani kabisa,, labda joh makini tu,, na G Nako,,

G Nako namkumbuka ile ngoma ya Dogo Hamidu - 26 number,, alitembea sijapata ona,, yule ndo G,
 
Yah man..Verse ya mwisho kwenye NDIO ZETU ya N2N niggaz..noma sana
 
Sio Sawa but wote wapo ndani ya misingi. They both don't speak the " white men English "
Shida ya Nickson Makini ni kwamba maisha yake ya PhD ya darasani anayaleta mpaka kwenye maisha ya kawaida. Hapa ndipo shida inapoanzia, wewe unauizwa mpaka sasa muziki wa tz umepiga hatua gani katika katika kuleta mapinduzi ya muziki kwa ujumla wewe unaanza habari za akina Mandela, Cheguavara, Nk.
 
First of all najua wewe ni member wa Jf Kwa sababu Ur a graduate and "Every Tanzanian Graduate is presumed to be a member of Jamii Forums until proven otherwise"

Back to my topic.
Nikki wa Pili wewe umekuwa ukijinasibu kama msanii mwana hip hop msomi but kwenye interviews zako simuoni msanii mwana hip hop msomi. Kwenye interviews za Nikki wa Pili ninamuona "Msomi Graduate wa
Shida yake pia huwaga ANAHISI hakuna aliyesoma zaidi yake
 
Kumbeni hata Hata hemedy ana phd
emoji23.png
 
Wanafanya aina mbili tofauti za muziki mkuu.Huyo Nikki wa pili(Wa kwanza hajulikani) hafanyi hiphop.Halafu nimeifungua hii thread haraka nikidhani ni Nikki mbishi na wakazi nieleze hoja yangu kuhusu wao.Kumbe ni A NON MC NIKKI!Huyo ye huwa ni msomi tu wa sociology halafu basi anakuwa kamaliza jambo lake muhimu..Ndo maana hata wewe unamuona kwanza kama msomi wa UDSM kabla ya vitu vingine..Hata yeye anapenda iwe hivyo kwasababu mbali na hako kausomi hana kitu kingine cha kuwavutia wana.Identity yake ni usomi..His brother is a cool nigga..Nikki ni waki..
Point taken
 
First of all najua wewe ni member wa Jf Kwa sababu Ur a graduate and "Every Tanzanian Graduate is presumed to be a member of Jamii Forums until proven otherwise"

Back to my topic.
Nikki wa Pili wewe umekuwa ukijinasibu kama msanii mwana hip hop msomi but kwenye interviews zako simuoni msanii mwana hip hop msomi. Kwenye interviews za Nikki wa Pili ninamuona "Msomi Graduate wa UDSM ambae anafanya muziki" Simuoni mwanamuziki wa hip hop msomi wa chuo.

From.Hiphop perspective, interview zako zinaboa Sana. Unaongea kistaarabu mno . Yani kama unafanya presentation kwenye seminar pale ss1. Huchangamki kwenye interviews zako. Msanii wa Hip-hop unatakiwa kuonyesha u hip hop wako Hadi kwenye interviews zako Bana.

Fanya udambwidambwi wa ki hip hop. Unaulizwa swali la kimuziki unajibu kwa kumquote Che Guevara, soon there after unaenda kum quote Sokoine. Are u serious bro!!! Una mquote Mzee Warioba kwenye interview ya Hip-hop? Kweli?

Wenzako akiulizwa swali kama Hilo anaanza Kwa kuchangamsha interview Kwa freestyle or acapella and stuffs.

Check interviews za Wakazi.

Yule Jamaa ni shule inayotembea.

NI msomi but haleti habari za madesa anapokuwa kwenye interviews zake.

Anaongea vitu vya kisomi ambavyo vinarelate na.muziki wa hip-hop, biashara ya muziki na show biz industry at large.

At least uwe kama Koffi Olomide. Usomi wa Koffi Olomide unaonekana kwenye ubora na umakini wa kazi zake.

Kama umechagua kuwa an entertainer then be an entertainer.

Mashabiki wa muziki hatutakujudge kama msomi wa Chuo Kikuu ambae anafanya muziki. Sisi tutakujudge kama mwanamuziki wa hip hop. So usituletee madesa kwenye hip-hop.

Msanii wa hip hop unatakiwa kuwa mtundu mtundu.
Amekuwa DC.
 
Mwenzenu ameshalamba teuzi uko nyie endeleeni kupiga kelele
 
Kama unamleta Papa John kwenye Uzi wa Hip-hopwe Nikki wa Pili nini? Maana Nikki wa Pili usipo mkatisha anaweza kukuletea hata nukuu ya Daniel Arap Moi wa Kenya au Mzee Warioba
Hatimaye Maza Hausi katambua nukuu zake na kumkabidhi kibaraza cha kunukuu ipasavyo
 
First of all najua wewe ni member wa Jf Kwa sababu Ur a graduate and "Every Tanzanian Graduate is presumed to be a member of Jamii Forums until proven otherwise"

Back to my topic.
Nikki wa Pili wewe umekuwa ukijinasibu kama msanii mwana hip hop msomi but kwenye interviews zako simuoni msanii mwana hip hop msomi. Kwenye interviews za Nikki wa Pili ninamuona "Msomi Graduate wa UDSM ambae anafanya muziki" Simuoni mwanamuziki wa hip hop msomi wa chuo.

From.Hiphop perspective, interview zako zinaboa Sana. Unaongea kistaarabu mno . Yani kama unafanya presentation kwenye seminar pale ss1. Huchangamki kwenye interviews zako. Msanii wa Hip-hop unatakiwa kuonyesha u hip hop wako Hadi kwenye interviews zako Bana.

Fanya udambwidambwi wa ki hip hop. Unaulizwa swali la kimuziki unajibu kwa kumquote Che Guevara, soon there after unaenda kum quote Sokoine. Are u serious bro!!! Una mquote Mzee Warioba kwenye interview ya Hip-hop? Kweli?

Wenzako akiulizwa swali kama Hilo anaanza Kwa kuchangamsha interview Kwa freestyle or acapella and stuffs.

Check interviews za Wakazi.

Yule Jamaa ni shule inayotembea.

NI msomi but haleti habari za madesa anapokuwa kwenye interviews zake.

Anaongea vitu vya kisomi ambavyo vinarelate na.muziki wa hip-hop, biashara ya muziki na show biz industry at large.

At least uwe kama Koffi Olomide. Usomi wa Koffi Olomide unaonekana kwenye ubora na umakini wa kazi zake.

Kama umechagua kuwa an entertainer then be an entertainer.

Mashabiki wa muziki hatutakujudge kama msomi wa Chuo Kikuu ambae anafanya muziki. Sisi tutakujudge kama mwanamuziki wa hip hop. So usituletee madesa kwenye hip-hop.

Msanii wa hip hop unatakiwa kuwa mtundu mtundu.
Kaula kaenda ushorobani.
Sasa tupumzike na vile vipost vyake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom