Nikki Mbishi: Maneno ya mashabiki

Na Playboy ndo wimbo wake pekee uliotembea vizuri Mainstream

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudi kundini mkuu, huku hip hop imenoga ma underground wanatoa ngoma kali kinyama kuliko hawa mainstream

Maalim nash katoa ngoma na singasinga ila bado sijaipata ila wametisha mno niliona kwenye intro alipost IG
Sure mkuu kuna dogo anaitwa nala mzalendo katoa EP yake iko hot mbaya hakuna nyimbo ya kuskip

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We umemjuaje nala mkuu?

Hahahaha hua napenda sana kuona kuna baadhi ya member tunasikiliza mziki mzuri

Huyu dogo ni noma kimashairi na kwa michano
Mkuu kuna magroup ya watsap tupo huko wanapush harakati mbali mbali za ma underground ndio tunapata kuwasikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbishi ni mkali sana, hata mawenge haingii sababu ngoma ya Nicki alimchana chalii kamstari kamoja tuu ila jamaa karecord wimbo mzima kumzungumzia Mbishi. Na mbishi simshauri kumjibu jamaa itakuwa kumpa jamaa promo zaidi. Inachotakiwa Mbishi atoe pini juu ya pini kalii halafu mkali ataonekana tuu sio lazima mpaka diss track ndio aonekane mkali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…