ukitaka habari za ukweli sikiliza redio Iran na angalia TV iran........hayo BBC, CNN habari zao ni za uongo!Ila hongera kwa kusikiliza radio Iran inayosema marekani kugeuzwa bwawa la moto na N.Korea.
jiunge na DSTV utaipataHyo radio Iran naweza ipataje kwenye Fm radio yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pia hyo Tv iran naipataje.
kwa DSTV unapata mpaka redio fmVp kuhusu radio[emoji23] [emoji23] [emoji23]
ukiwa na simu original new version zile za kuanzia 1m unaipata.....lakini hivyo vimchina vyenu na vi techno huwezi pata[emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe nilidhan naweza ipata kwenye simu maaana naweza kaa hata wiki sijaangalia Tv sina mda.
Uzushi mwingiWakati mwingine napataga wasiwasi wa kuviamini vyombo vya habari vya magharibi na USA.
Basi waambie tena hao Syria warudie kutumia hizo sumu.hivyo vyombo vyote ni vibaraka vya Marekani vinaendeleza propaganda za uongo sina muda wa kufuatilia habari za uongo!
... Mkuu uko Syria au ni hizi radio mbao za bongo?Marekani cheche Sana kulikuwa na sababu gani kuwafahamisha Russia kuwa watalipua warusi wakasepa lakini wakahamisha kila kitu muhimu na makombora 23 tu ndio yalitua hayo mengine means yaliyayushwa hewani? Na wasyria wazembe waliokuwa hawaamini kuwa watashambuliwa wakabaki na kufa... Na damege yenyewe ni kidogo tu zile sehemu muhimu zipo salama kabisa haswa hunger za ndege
... Ni kweli kiongozi mimi kwa sasa chombo cha habari ninachokiamini ni TBC tuu baas lakini hao BBC, CNN, VOA, Fox news etc hakuna kitu bora hata gazeti LA Uhuru... HahahaaaWakati mwingine napataga wasiwasi wa kuviamini vyombo vya habari vya magharibi na USA.
... Mwenzio ametetea hoja yake kwa evidence wewe umekomaa na maneno, kumbuka maneno matupu hayavunji mfupa.hizo zote zilikuwa hazitumiki
Ukitaka kuona vyombo vya habari vya magharibi na USA ni nyoko angalia uchaguzi wa MAREKANI wa mwaka jana hakuna hata chombo kilichokuwa kinamsifia Trump...!!!... Ni kweli kiongozi mimi kwa sasa chombo cha habari ninachokiamini ni TBC tuu baas lakini hao BBC, CNN, VOA, Fox news etc hakuna kitu bora hata gazeti LA Uhuru... Hahahaaa