ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,476
- 9,654
- Thread starter
- #21
Marekani wamepiga vitu vibovu vilivyokuwa havitumiki mpaka radar zilikuwa hazitumiki.....vitu vyote muhimu viliamishwa na jana ndege za Syria zimeshambulia waasi kutoka kwenye yale yale maghala yaliyopigwa na Marekani.....Marekani ni matapeli mashambulizi yake ni usanii tu hayajawaathiri kwa namna yoyote jeshi la syria
Kwa hyo hata satellites zimeongopa?!