Nikiwakumbuka tu HESLB furaha ya kupata chuo inazimika kabisa

mwanakijiji lugusi

Senior Member
Apr 13, 2016
128
225
Wadau naona vijana wengi wanafurahia kupata chuo dah ila mwenzenu nikiwakumbuka HESLB furaha inapotea kabisa kwa kuwa nikikosa mkopo ndoto za kusoma UDSM zinazimika kama mshumaa coz nimesoma kwa kuungaunga sana na kama mashamba tumeuza yote kwa sababu ya kuisaka elimu ya form one mpaka six.

Tushauriane wadau
 

petrocaptain

JF-Expert Member
Dec 17, 2016
213
250
Pole mwanakjij muhanga si ww tu wwngne tumesom boom tuliliskia kwa baaz ya wanachuo Ila wazaz walikaza mpk ka dgrii ka Kwanzaa nkakabeba
 

Jerry santonga

JF-Expert Member
Oct 12, 2014
624
1,000
omba ufadhili wa Mo dewji
Nimesoma vigezo vyao...
Pia ni vyema wewe search Mo dewji scholarship pale google deadline yao ni 20/10/2017
mwanzoni ilikuwa 10/10/2017
nadhani Heslb wataanza ila narudia
Mkopo ushapata ushauri wangu
Kautumie kwa matumizi husika
 

Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
7,067
2,000
Ni kusubiri tu muda utaamua. Maombi yatasaidia lakini vilio vitakuwepo.
 

Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
7,398
2,000
Ngoja mungu atende miujizaa..hicho kipind ni kigumu sana...kinatupa stress hatulalii

 

Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
18,544
2,000
Hamnaga watu nisiowapenda kama hao loans board.

Walinifanya nikasoma kwa tabu kweli kweli. Kwanza walianza kwa kuniambia siku attach document kadhaa kwenye maombi yangu, nikapeleka kutoka Arusha mpaka Dar mguu kwa mguu.

Mwishoni sikupata hata hilo boom. Pasi ndefu zilihusika sana nikakonda hapa town Daslam unakosa hata jero ya maji.

Nashukuru masela zangu Balii, Chepe, Hando, Comrade, Kd, Mdau na wengine kwa kupigana tafu mpaka tumetoboa mamaee
 

Vicin

JF-Expert Member
Jul 19, 2017
677
500
Mungu akukumbuke upate mkopo.
Tuombeane kwa Mungu.
Siri ya kubarikiwa ni kumbariki mwingine. Usijiombee wewe tuu, waombee na wengine wapate pia mkopo.
 

mkai msangi

Member
Feb 6, 2017
49
95
Wewe unachuo uanawaza boom wenzio hata hicho chuo bado ni ndoto tunahisi mshukuru Mungu tayari unauwezakano wa kuona ndoto yako wenzio bado Mungu atusaidie
 

Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
7,067
2,000
acha uoga mkuu...mwaka huu tutawapa wote...hata wale ambao hawakuomba:eek::eek::eek:
Subiri walishasema wanatarajia kutoa kwa 30000 tu na waombaji sio chini ya 60000. Mkuu sina waoga niko nje ya waombaji wakati wetu ukipata chuo serikali inakulipia.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom