mwanakijiji lugusi
Senior Member
- Apr 13, 2016
- 128
- 96
Wadau naona vijana wengi wanafurahia kupata chuo dah ila mwenzenu nikiwakumbuka HESLB furaha inapotea kabisa kwa kuwa nikikosa mkopo ndoto za kusoma UDSM zinazimika kama mshumaa coz nimesoma kwa kuungaunga sana na kama mashamba tumeuza yote kwa sababu ya kuisaka elimu ya form one mpaka six.
Tushauriane wadau
Tushauriane wadau