Emanuel Makofia JF-Expert Member Jan 5, 2010 3,832 630 Sep 23, 2011 #1 Nikiwa safarini ngorongoro nimekutana na mkasa huu! sijui walikuwa na njaa kali kiasi gani??
Ruge Opinion JF-Expert Member Mar 22, 2006 1,838 701 Sep 23, 2011 #2 Mkuu, mmoja ni kama anatafuna tairi. Pancha inazibika hapo?
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,557 Sep 23, 2011 #3 Emanuel Makofia said: Nikiwa safarini ngorongoro nimekutana na mkasa huu! View attachment 37736 View attachment 37737 sijui walikuwa na njaa kali kiasi gani?? Click to expand... naona hapo mkuu gea riva ulikuwa haionekana..
Emanuel Makofia said: Nikiwa safarini ngorongoro nimekutana na mkasa huu! View attachment 37736 View attachment 37737 sijui walikuwa na njaa kali kiasi gani?? Click to expand... naona hapo mkuu gea riva ulikuwa haionekana..
Memo JF-Expert Member Jan 17, 2011 2,157 760 Sep 23, 2011 #4 HAHAHAHAA! japo umetudanganya kuhusu safari lakini poa tu!!