- Thread starter
- #81
hii hoja ni dhaifu sana, nimeishi uingereza kuna watu wana PHD wengi tu wana umri wa miaka 26/27/28; specialist wengi tu 28/29Kweli bangi inadhuru. Ni watu wangapi wenye masters na PhD umri chini ya 38?
Hoja zako ni nyepesi hazina mashiko.
Unajua inachukua muda gani kutoka uhakimu mpaka ujaji? Askari wa kawaida mpaka Jenerali? Kusoma mpaka uwe daktari bingwa mbobevu ie super specialist?
MUNGU AKUHURUMIE
Kwa Tanzania, mfumo Wa ajira ndiyo chanzo kikuu cha watu kupata PhD uzeeni, kwanza wanachelewa kuajiliwa, pili wengi wao wanasoma ukubwani ili kuongeza kima cha mshahara na mafao ! ndiyo maana PHD nyingi bongo hazina impact kwenye uchumi Wa taifa, kwasabu nyingi ni za wachumia tumbo! kwenye utawala Wangu nitakomesha hilo! ajira watu watapata siku ya mahafali watapewa barua ya kuriport kituo cha kazi; miaka ya elimu msingi miaka 6 tu, na watoto wataanza na miaka 5 au 6 la kwanza.
Pia NOTE; wale ma specialist wenye uwezo kiutendaji nitawaretain kwa kibari maalum toka IKULU,
Watu wanaopinga wazo langu wengi wao wanajitathimin na kuona utendaji wao ulivyo duni nje ya serikali maisha hawana;