Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,124
- 6,141
Mapato yanayokusanywa sasa yanafika kama shiling trillion 32 haya ni makadirio siyo actual figure
TRA wanakusanya kama Trillion 24 na mapato mengine tofauti na kodi ni kama Trillion 8 hii ni kama sample tu ya mtizamo wangu
Team Dennis 255713520180
👇👇👇👇
Mchanganuo
A) Trillion 10 kuservice madeni ya nyuma
B) Trillion 14 kwa ajili ya recurrent expenditures
C) Trillion 10 kwa ajili ya development expenditures na mchanganuo wake ni kama ufuatavyo
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Faida za balanced budget
TRA wanakusanya kama Trillion 24 na mapato mengine tofauti na kodi ni kama Trillion 8 hii ni kama sample tu ya mtizamo wangu
Team Dennis 255713520180
👇👇👇👇
Mchanganuo
A) Trillion 10 kuservice madeni ya nyuma
B) Trillion 14 kwa ajili ya recurrent expenditures
- Mishahara ya wafanyakazi wa serikali
- Posho
- Manunuzi ya magari kwa ajili ya shughuli za serikali
C) Trillion 10 kwa ajili ya development expenditures na mchanganuo wake ni kama ufuatavyo
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
- Trillion 3 kwa ajili ya barabara, kupima nchi nzima na madaraja
- Trillion 1 kwa ajili ya miundombinu ya michezo
- Trillion 1 kwa ajili ya ujenzi na uboreshaji wa shule, vyuo na ofisi za serikali
- Trillion 1 kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya hospitali
- Trillion 1 kwa ajili ya dawa na vifaa vya hospitali za serikali
- Trillion 1 kwa ajili ya kujenga scheme za umwagiliaji
- Trillion 2 kwa ajili kuboresha miundombinu ya kusambaza umeme
- Billion 500 kwa ajili ya kununua vifaa vya jeshi mfano drone za kisasa, ndege za kisasa, kulifanya jeshi kuwa la kisasa na baadae itaongezeka
- Billion 500 kwa ajili ya tafiti za kutengeneza dawa from scratch hapa Tanzania na baadae itaongezeka maradufu
Faida za balanced budget
- Kuongeza chanzo kipya cha mapato ya kodi na ambayo sio ya kodi tsh Trillion 3
- Ukuaji wa uchumi utakua ni asilimia 9
- Kuongeza ajira rasmi laki 5 na zaidi
- Kuzalisha megawatts za umeme
- Kusambaza bomba la gesi nchi nzima
- Kujenga natural gas refinery kama crude oil, natural gas refinery, na
- Mwekezaji wa petrochemical
- Mwekezaji wa kujenga smelter mfano silicon wafer, & silicon wafer