Nikiwa na ukaribu na mtu lazima afanikiwe sio mimi

Jamaa sijui una gundu la jupiter maana gundu lako ni kali haijawahi tokea toka misingi ya dunia iwekwe
 
Leo nimekaa nimejiuliza nimeshindwa kupata jibu.

Kiuhalisia karibia zaidi ya watu 10 sasa kila nikijaribu kujenga nao ukaribu kwa macho yangu nashuhudia wenzangu wakifanikia mimi nikibaki.

Ikitokea Nimeanza mchakato wa kutafuta ajira kiukweli mwenzangu atafanikiwa na kupata kazi haraka tofauti na mimi.

Sio biashara wala chochote.

Kiukweli nimekuwa disappointed sana hali iliyonipelekea niwe na msongo wa mawazo na kuogopa kuongeza rafiki mpya maishani.
Wameshakupora injini yako ya Scania wamekuwekea injini ya vesper
 
Bro unaneema kubwa wala usijali wala usichoke wala kukata tamaa hakikisha unakuwa na watu zaidi unavyoweza waache wafanikiwe ipo idadi yao ktk kiganja cha Allah itakapotimia niamini mimi si binadamu wa kawaida utakuwa na mafanikio ambayo hakuna yoyote unayemjua alifanikiwa mara baada kuweka ukaribu kwake au kwako hii enenda nayo kwa imani usiwe mchoyo ulichonacho si chako ni cha hao marafiki kitakapo Isha chaja chako kamili utaikumbuka hii hutakiwi kuwa na kinyongo hali hiyo iwe ni furaha kwako delivery tu huku unashukuru Mungu kwa kukupa heshima ya kushika hatima za watu mikononi mwako unaihitaji utulivu wa kiwango cha juu sana toa sumu zote comedown be comfortable samehe na ujisamehe uwe mpya kbs I believe God is lifting up right now.
 
Leo nimekaa nimejiuliza nimeshindwa kupata jibu.

Kiuhalisia karibia zaidi ya watu 10 sasa kila nikijaribu kujenga nao ukaribu kwa macho yangu nashuhudia wenzangu wakifanikia mimi nikibaki.

Ikitokea Nimeanza mchakato wa kutafuta ajira kiukweli mwenzangu atafanikiwa na kupata kazi haraka tofauti na mimi.

Sio biashara wala chochote.

Kiukweli nimekuwa disappointed sana hali iliyonipelekea niwe na msongo wa mawazo na kuogopa kuongeza rafiki mpya maishani.
Kama umeoa, anza kuwa karibu sana na mkeo. Kama bado, sasa ndio muda wa kuoa huu mkuu.
 
Kwa upande wangu nilishaobserve nikiingia sehemu fulani kwenye biashara za watu mara nyingi dukani wateja wengi hujaa sijui kwanini
Lkn nafikir pia wajanja walishanote kitu kwasababu baadhi hunipigia hta cm kuniomba niende dukan kwao nikaangalie maybe mzigo mpya nk [mention]Mshana Jr [/mention] karibu unifungue macho
 
Hii kitu Kuna mtu nishamuona nayo,Kila akifika ofisi flani,ndani ya dk5 lundo la watu linajazana kununua,nnapoengea mpaka saiz yy mwenyewe ameshaanza kuishtukia hii issue
 
Back
Top Bottom