Hivi ukawa Mod leo mtu wa kwanza Kumpa Burn ni nani?
Mimi naanza na ....foxy
akili za magamba hiziMini naanza na Vivian
dada yangu Faiza huu ndio 'ukariakoo' unaokugombanisha na watu hapa Jey Efu,swali 1 majibu 10 hahaha! ramadhani njema tuna mpango JF kumtunuku mmeo shahada kwa kuweza kuishi nawe 30yrs huyo ni MWANAMUME.Burn? ma mod huwa hawatoi "burn" ndio maana huna huo u moderator kwa sababu hata hujui unachokiandika! Unanchekesha!
Au ulimaanisha ban? maana hiyo uliyoandika wewe tena kwa uhakika kabisa huwezi hata kuvunga kuwa ilikuwa ni spelling mistake. Pole mwana, kwanza ka-polish kiingereza chako halafu uuwaze huo u mod. Meanwhile, FF anadunda!
Hujambo lakini,hebu nipe jina la thread nikasome lol!Niliambiwa zimerudishwa kwako na kwamba ulizimia baada ya Lizzy kukuibia suruali ya Jeans (nimemnukuu Kloro akisaidiwa na Husny)
Dena katika hio list naomba mmoja tu atoke.... Dah!
Ningem BAN Afrodenzi, The Finest,Kaizer, Preta, Wiselady, Kimey, Asprin, Bigirita, GY, Bacha, Mj1, Zion Daugher, Pearl, Nyamayao, Susy, Bishanga, BE, Maty, Elia, Kokudo, Husininyo, Lizzy, Mamndenyi, Teamo, Paka Jimmy, Mzee wa Rula, goosh list ndefu sana nitarudi
Hujambo lakini,hebu nipe jina la thread nikasome lol!
Yaani kwa hii statement tuu, ningekuwa mod wa cheo, ni full "burn".
dada yangu Faiza huu ndio 'ukariakoo' unaokugombanisha na watu hapa Jey Efu,swali 1 majibu 10 hahaha! ramadhani njema tuna mpango JF kumtunuku mmeo shahada kwa kuweza kuishi nawe 30yrs huyo ni MWANAMUME.
Hapana,kauliza swali ukiwa mod mtu wa kwanza kumpa ban atakuwa nani ? kataja jina lako labda hapendi msimamo wako au aina na namna unavyoziwakilisha,hakufahamu wala humfahamu (nothing personal) sasa nawe ungejibu swali kwanza kama Faiza ungempa ban nani kwanza ungekuwa mod halafu msahishe ban-burn.Sasa wewe ji thread zima kalianzisha kwa ajili yangu tu, halafu nisilijibu? unanchekesha! au hukuisoma post #1?
Nimefurahi kuona list ndefu kama hiyo FF hayumo. Lol.
Dena katika hio list naomba mmoja tu atoke.... Dah!
mambo kisura wa jey Efu tumekumiss balaa,mzima lakini ? ukirudi sahau tena kuniweka kwenye listi hahaha!
<br />
<br />
Yap..
Welcome back
Mama mwenye nyumba karudi..
Halafu naona na hii wataka kuipeleka 4879
Teh teh teh bado sijaona record iliyovunja
Hata kufikia hiyo ..lohhh
Goooooood Old days haaaaaaa
Kwa kweli tuliolewa
Na kuachika sku ya pili..
kazi kweli kweli..
Ningekupa access ya jukwaa la Siasa tu majukwaa mengine ungekula banHivi ukawa Mod leo mtu wa kwanza Kumpa Burn ni nani?
Mimi naanza na ....foxy
Hapana,kauliza swali ukiwa mod mtu wa kwanza kumpa ban atakuwa nani ? kataja jina lako labda hapendi msimamo wako au aina na namna unavyoziwakilisha,hakufahamu wala humfahamu (nothing personal) sasa nawe ungejibu swali kwanza kama Faiza ungempa ban nani kwanza ungekuwa mod halafu msahishe ban-burn.
Hilo swala la mimi 'kuchekesha' ndio tunarudi kule kuleeee mtaa wa Mafia lol!
karibu tena jamvini, huko segerea wanaambaje?