Nikiwa Mod Leo

Sielewi elewi hiyo kuwa banned inakuwaje??msaada plz!

Hivi ukawa Mod leo mtu wa kwanza Kumpa Burn ni nani?

Mimi naanza na ....foxy

Burn? ma mod huwa hawatoi "burn" ndio maana huna huo u moderator kwa sababu hata hujui unachokiandika! Unanchekesha!

Au ulimaanisha ban? maana hiyo uliyoandika wewe tena kwa uhakika kabisa huwezi hata kuvunga kuwa ilikuwa ni spelling mistake. Pole mwana, kwanza ka-polish kiingereza chako halafu uuwaze huo u mod. Meanwhile, FF anadunda!

Reactions: EMT

i am glad u are back
sasa maliza kufuturu nikupeleke kwa bakhresa..

Ningem BAN Afrodenzi, The Finest,Kaizer, Preta, Wiselady, Kimey, Asprin, Bigirita, GY, Bacha, Mj1, Zion Daugher, Pearl, Nyamayao, Susy, Bishanga, BE, Maty, Elia, Kokudo, Husininyo, Lizzy, Mamndenyi, Teamo, Paka Jimmy, Mzee wa Rula, goosh list ndefu sana nitarudi

Mi ningejipa Ban mwenyewe maana naona nakaribia kuwa addict wa hii kitu.. :msela:

Yap..
Welcome back
Mama mwenye nyumba karudi..
Halafu naona na hii wataka kuipeleka 4879
Teh teh teh bado sijaona record iliyovunja
Hata kufikia hiyo ..lohhh
Goooooood Old days haaaaaaa

Kwa kweli tuliolewa
Na kuachika sku ya pili..
kazi kweli kweli..

mambo kisura wa jey Efu tumekumiss balaa,mzima lakini ? ukirudi sahau tena kuniweka kwenye listi hahaha!

Dena katika hio list naomba mmoja tu atoke.... Dah!

Macho mazuri mambo gani ya kutuweka Double View halafu usitokee weekend hii wajameni ? mi nilikuwa na hamu kuona macho yako tu lol!

Uporoto ...
Nachukua Notes
Cheusi akija kwenye harusi
Ya Preta namkabidhi..

Kha nilidhani utakuwa wa kwanza
kumpa hongera Preta kwanza twahitJi
DJ embu rudi nyuma hapa chit chat uone
Ulivyo chelewa ..twajing'ataa na we haupo looh

co-worker pole nimesikia hela hazijakufikia bado na Kloro anadai eti yuko bize ataonekana JF kuanzia Oktoba pole sana.

Niliambiwa zimerudishwa kwako na kwamba ulizimia baada ya Lizzy kukuibia suruali ya Jeans (nimemnukuu Kloro akisaidiwa na Husny)

Hivi ukawa Mod leo mtu wa kwanza Kumpa Burn ni nani?

Mimi naanza na ....foxy

ukiwa mod wewe m najinyonga kama ZOMBE!!!!!teehteeeheteeehh
nnghekuwa mode ungenifanyaje

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…