Sijui nilisahauje. Yaani wewe ni No. Moja kwenye list ya Burn. Natamani hata Nichangishe pesa kutoka kwa members huku kuwezesha mawasiliano na Mods upewe burn hata sasa hivi.
Kwa kosa gani??, sidhani kama nimeshawahi kuona huyu dada amevunja sheria (unless kutetea point zako unazoziamini ni kosa)... Tena mimi ninapenda watu wenye mitizamo tofauti kuliko wale wanaounga hoja mkono...., kwahiyo cha maana ni ku-tackle hoja zao na kuonyesha kwamba wanaongea vapour