Alexander The Great JF-Expert Member Aug 28, 2018 4,502 23,582 Nov 1, 2020 #2 Jamaa mungu wamemgeuza kama msela wao yani. Wanamchukulia poa kwa maneno na viapo vya uongo kila kukicha. Ngoja siku aoneshe umwamba wake awachape radi mchana kweupe pale lumumba au chamwino. Nadhani ndio heshima itakuwepo.
Jamaa mungu wamemgeuza kama msela wao yani. Wanamchukulia poa kwa maneno na viapo vya uongo kila kukicha. Ngoja siku aoneshe umwamba wake awachape radi mchana kweupe pale lumumba au chamwino. Nadhani ndio heshima itakuwepo.
machiaveli JF-Expert Member Jun 4, 2016 1,882 3,927 Nov 1, 2020 #4 Ilo li Askari hapo kushoto Lina sura ngumu Kama mkubwa wake🤣