Bia za kununuliwa kuagiza Savanna, Desperados na Redbull huo ni ushamba

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,305
29,828
Wadada kuweni na akili, ivi ingekuwa unakunywa kwa pesa yako kweli ungeagiza savanna? Kwanza ni upumbavu unagudumia maredbull energy matatu masavana naunajua kabisa bei za hivi vinywaji ni 5000 kila chupa moja lakini unaendelea kuagiza Kwa kukomoa yani. Mnakera bhana, kwani Castle Lite au Serengeti Lite Ina shida gani.

Inamana mm boss ninaekunywa safari na Kilimanjaro Sina akili au. Kila mtu anapenda vizuri sio kwamba sitaki Heineken na Windhoek Hakuna anaependa kunuka midomo kuamka na mahang-over ila uchumi unabahan. Tumieni akili washenz nyie

1668663131834.jpg
1668663205612.jpg
 
Back
Top Bottom