Nikiulizwa Magufuli ameacha nini kikubwa, nitasema kuwa Magufuli ameacha hofu kwa Watanzania

Akili ndogo kweli kweli. Akili ndogo kama hii huwaza hofu, wenye akili kubwa tunawaza:-
1. Uchumi wa kati.
2.Wakuu wa Idara na Taasisi za umma kupata posho ya madaraka kila mwezi.
3.Ikulu kuhamia Dodoma.
4. Mafisadi kunyonyolewa mchana kweupe.
5.Flyovers.
6. Bwawa la Umeme la mwl.Nyerere nk.
 
Sababu anajadiliwa mungu wenu
Kwa hili jibu sidhani kama atarudi tena.
Screenshot_20211003-075743.png
 
Akili ndogo kweli kweli. Akili ndogo kama hii huwaza hofu, wenye akili kubwa tunawaza:-
1. Uchumi wa kati.
2.Wakuu wa Idara na Taasisi za umma kupata posho ya madaraka kila mwezi.
3.Ikulu kuhamia Dodoma.
4. Mafisadi kunyonyolewa mchana kweupe.
5.Flyovers.
6. Bwawa la Umeme la mwl.Nyerere nk.
Kwahiyo wewe furaha yako ni kuona fisadi ananyolewa mchana kweupee na si wewe kupata maendeleo
 
Ametuachia na janga la wamachinga, aliwadekeza kama wadekezwavyo watoto wa kichina wa zama za "One-Child Policy", Hili suala linaweza kuwa ni kipimo cha kwanza kikubwa cha uwezo wa Samia kiuongozi
 
Magufuli ameleta awareness kubwa sana kwa Watanzania juu ya mambo mengi yawahusuyo wao binafsi na taifa kwa ujumla.

Kaleta awareness gan kwa mfano,

Kama kweli aliyokawa anayafanya ni sahihi kwann akafungia internet Ili aweze kutempa na matokeo ya uchaguz na kuwaingiza wabunge wa ccm pekee bungeni?

Kuminya uhuru wa habar na demokrasia na kuwakandamiza wafanya biashara na kuwanyima stahiki watumishi wa umma unadhan ni jambo ambalo linaweza kumbuka na nan
 
HOFU HOFU HOFU TUPU ILIKUWA HUWEZI KUITABIRI KESHO YAKO SI KWA ALIOWATEUWA AU YEYOTE YULE KWA UPANDE FULANI NAMSIFU KWA KIPAJI ALICHOKUWA NACHO MAANA ALIWEZA KUENDESHA NCHI NA WIZARA ZOTE YEYE MWENYEWE HUKU AKIFAHAMU KILA KITU KATIKA KILA WIZARA
Mwenzetu kumbe unaweza kutabili kesho yako?
 
Huyu Magufuli alikuwa na nguvu kiasi mpaka leo yupo futi sita chiniya ardhi lakini bado anawatisha tuu??’!!
 
Kabisa.
Ben Saanane, Azory and so.
Aliwateka kila waliompinga, alipoona nyota ya Lissu ni kali kuliko yeye mwenye madaraka akammiminia risasi 38.
Hata nguruwe hawezi kuufanya unyama wa namna ile.
Sasa hivi limebaki mifuvu tupu pumbavu zake.
Namdiss sana, miaka 6 nilikuwa nalipwa mshahara wa Kikwete.
Mama kaingia tu sasa napokea kitu kipya.
Lile jitu la hovyo kila tulipoomba nyongeza ya mshahara na madaraja mapya alitujibu kwa kebehi.
Alituona sisi wapumbavu.
Kwisha habari yake.
Siku amekufa nililia kwa furaha
Maana alimwaga damu ya Mwangosi,Ulimboka,akagawa gesi kwa wazungu nakuipeleka iliyobaki Bagamoyo nyumbani kwake.
 
Sasa hapo huoni kama wewe ndio mpumbavu?

Hivi kwanini huchukulii Rais kama taasisi.?
Siku zote wanaokimbilia kutukana lazima wana matatizo katika kukamilika kwa ubinadamu wao. Mwenye akili hutoa hoja, siyo kuporomosha matusi. Unapotukana, maana yake unawatangazia watu kuwa wewe ubinadamu wako haujakamilika. Jukwaa hili ni la watu wenye akili timamu, watu wanaoweza kujadili hoja.

Kutukana kila mtu, hata kichaa anaweza, ili kutoa hoja ni wachache sana wanaweza. Ni wale waliojaliwa akili tu.
 
Back
Top Bottom