Nikiuliza matumizi mbona anakuwa mkali

Umeolewa na boya wewe Mimi nanunua gunia la mkaa,kiroba Cha unga .maharage kg10 na Michelle kg 25 na mafuta ya kula lita 10 halafu Kila siku unakula 5000
ha ha ha mkuu mbona hili povu halinihusu...au umenikopi kwa sababu ipi hasa!!!
 
Back
Top Bottom