Nikitumia wireless internet kwa muda mrefu computer inastuck | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nikitumia wireless internet kwa muda mrefu computer inastuck

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Tangopori, Sep 10, 2012.

 1. Tangopori

  Tangopori JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 1,614
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  Wakuu nisaidieni nikiwa natumia wireless internet kwa muda mrefu laptop yangu inagoma na ukiizima ina shut down for so long in short haizimi kabisa so inabidi kila ikistuck nitumie kile kibutton cha kuwashia kuforce izime then nikiwasha tena natumia kwa muda fulani tena kama 1 hour then inastuck tena
  cha kushangaza nikitumia modem haina shida yeyote hata nikitumia for the whole day au nikiwa situmii internet haina tatizo lolote.
  wakuu nisaidieni maana naona nikiendelea kuizima kwa kuiforce hivi inaweza kuleta tatizo lingine mbeleni.
   
 2. Madikizela

  Madikizela JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 4, 2009
  Messages: 319
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Hicho ni kifaduro!
   
 3. Shaffin Simbamwene

  Shaffin Simbamwene Verified User

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 16, 2008
  Messages: 1,155
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Inaumwa kwikwi aisee!!!
  Wireless nyingi za ubwete haziko safe so bora ukamue bundle kuokoa hiyo mashine
   
 4. Williedm

  Williedm JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 494
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  teh teh teh Simbamwene,
  fanya kwa kununua bando af tuone kama linaendelea tunakusaidiaje,
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...