Alvajumaa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 5,475
- 6,949
Skymark ndio kitu gani mkuru[emoji848][emoji848][emoji848]Ukiendelea KUVUA SKYMARK wakati MSHEDEDE Upo Doro ipo SIKU watakupasulia YAI.
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Acha unafiki wa kumsingizia Mungu, kuna mambo mengine inawezekana ni mkewe kamtegaNaomba niwe wa kwanza kukupa taarifa nzuri. Roho wa Mungu bado yupo ndani yakoo.
*****Kitu kingine energy connection kati ya wewe na mke wako imekuwa kubwa sana kiasi kwamba ukitaka kufanya connection nyingine yeyoye ile inauliwa kiraisi sana na energy connection kubwa uliyonayo toka kwa mkeo****
Chukulia mfano umeme ambao haujapitia kwenye Transformer uunganishe direct nyumbani unanunguza vifaaa vyote. Sasa ukichepuka unakuwa una umeme mkubwa sana kati yako na mkewe halafu ule wako na mchepuko unakuwa mdogo sana kwaio unaunguza hisia zote kati yako na mchepukaji wako..
Watu wanaochepuka na kuinjoy mara nyingi unakuta energy zao zimeisha bguvu sana au hazikupata kabisa nguvu.
Ubarikiwe kwa kuwa na upendo na mkeo
Sent using Jamii Forums mobile app
SKy Mark ni aina ya pikipiki kama ilivyo Sanlg,better,boxer etc
sasa mbna hapo sky mark haiingili na alichokisema mtoa mada!!?SKy Mark ni aina ya pikipiki kama ilivyo Sanlg,better,boxer etc
Tumeweka kwenye CODE KUVUA BOXER(Boxer ni version ya Pikipiki) sasa hapo Tumeweka KUVUA SANLG.
OkTumeweka kwenye CODE KUVUA BOXER(Boxer ni version ya Pikipiki) sasa hapo Tumeweka KUVUA SANLG.
Nikichepuka utendaji unakuwa hafifu sana,hata niwe nimechepuka na mwenye mvuto zaidi ya niliyenaye,wakati mwingine naishia kupapasa papasa tu na kuvaa T-BETTER,ila nikirudi kunako husika mashine wima wima ,nimefikia maamuzi sasa kuchepuka basi.
Hii inatokana na nini hasa wakuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu anakupenda sana na ameona akupe muda zaidi wa Kuishi na kumtumikia. Heshimu ndoa yako uliyo ichagua mwenyeweNikichepuka utendaji unakuwa hafifu sana,hata niwe nimechepuka na mwenye mvuto zaidi ya niliyenaye,wakati mwingine naishia kupapasa papasa tu na kuvaa T-BETTER,ila nikirudi kunako husika mashine wima wima ,nimefikia maamuzi sasa kuchepuka basi.
Hii inatokana na nini hasa wakuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaatunatofautiana sana kuna watu michi za ugenini ni mastaa sanaNikichepuka utendaji unakuwa hafifu sana,hata niwe nimechepuka na mwenye mvuto zaidi ya niliyenaye,wakati mwingine naishia kupapasa papasa tu na kuvaa T-BETTER,ila nikirudi kunako husika mashine wima wima ,nimefikia maamuzi sasa kuchepuka basi.
Hii inatokana na nini hasa wakuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
wahaya wana madawa ya ivo ,nenda utoe iyo lock kwa mganga mapema .
Hahahaha hatutakagi ujingaujinga,ukomeNikichepuka utendaji unakuwa hafifu sana,hata niwe nimechepuka na mwenye mvuto zaidi ya niliyenaye,wakati mwingine naishia kupapasa papasa tu na kuvaa T-BETTER,ila nikirudi kunako husika mashine wima wima ,nimefikia maamuzi sasa kuchepuka basi.
Hii inatokana na nini hasa wakuu?
Sent using Jamii Forums mobile app