Umenitisha![emoji25][emoji25]Ukiona hivyo nje hakukupendi endelea kubaki ndani tu mkuu mwisho wa siku uko nje itakua haisimami kabisa
Analindaje?Itakuwa wasiwasi au mwenye mali ameamua kulinda mzigo wake
Jaribu kumuuliza bi mkubwa atakupa majibu
Daa mtihani huo sidhani Kama anaweza kuniambiaJaribu kumuuliza bi mkubwa atakupa majibu
Original anayo mkeo,unayoenda kuchepukia n fake,ko ukirud kwa mkeo anakurudishia yako halisi,ila pole mkuuNikichepuka utendaji unakuwa hafifu sana,hata niwe nimechepuka na mwenye mvuto zaidi ya niliyenaye,wakati mwingine naishia kupapasa papasa tu na kuvaa T-BETTER,ila nikirudi kunako husika mashine wima wima ,nimefikia maamuzi sasa kuchepuka basi.
Hii inatokana na nini hasa wakuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ndio wanawake. Na hiyo ndio silaha yao pekee.Nikichepuka utendaji unakuwa hafifu sana,hata niwe nimechepuka na mwenye mvuto zaidi ya niliyenaye,wakati mwingine naishia kupapasa papasa tu na kuvaa T-BETTER,ila nikirudi kunako husika mashine wima wima ,nimefikia maamuzi sasa kuchepuka basi.
Hii inatokana na nini hasa wakuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hebu muone mshana Jr atakusaidia sana ilishawah mtokea jamaa yangu hyo baada kwenda kwa chief kumbe shemela alifanya yake akatibiw ikaisha kabisa sasa mambo mukideeNikichepuka utendaji unakuwa hafifu sana,hata niwe nimechepuka na mwenye mvuto zaidi ya niliyenaye,wakati mwingine naishia kupapasa papasa tu na kuvaa T-BETTER,ila nikirudi kunako husika mashine wima wima ,nimefikia maamuzi sasa kuchepuka basi.
Hii inatokana na nini hasa wakuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]UMELOGWA.....wanawake hawa jamani
AsanteMkuu hebu muone mshana Jr atakusaidia sana ilishawah mtokea jamaa yangu hyo baada kwenda kwa chief kumbe shemela alifanya yake akatibiw ikaisha kabisa sasa mambo mukidee
DaaaHao ndio wanawake. Na hiyo ndio silaha yao pekee.
Safi sana.
Utajua kwa nn pale utkapokuwa mkubwa