Tunguja
JF-Expert Member
- Feb 15, 2018
- 501
- 406
Nikichepuka utendaji unakuwa hafifu sana,hata niwe nimechepuka na mwenye mvuto zaidi ya niliyenaye,wakati mwingine naishia kupapasa papasa tu na kuvaa T-BETTER,ila nikirudi kunako husika mashine wima wima ,nimefikia maamuzi sasa kuchepuka basi.
Hii inatokana na nini hasa wakuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inatokana na nini hasa wakuu?
Sent using Jamii Forums mobile app

