Nikitoka kufanya mapenzi huwa nakula kama mchwa

Sijui ni mimi tu pekee au kuna na wengine?, Naomba nipate Uzoefu wenu. Mimi huwa nikitoka kufanya mapenzi huwa nakula kama mchwa. Nakula mara mbili ya kile chakula nilichokuwa nakula kabla na njaa huwa inaniuma mara kwa mara.

Sasa sijui tatizo ni nini wakuu.
Kamanda bado ujapata mke?
 
Nilishawahi kula mzgo mchana kwenye jua Kali na sijala
Lile bao la tatu nilishindwa kutoka juu ya kitumbua Cha mtu alinisukuma kunitoa
 
Back
Top Bottom