Tuwili tuUlipiga ngapi mkuu
14 sio 10Mshindo mmoja ni sawa na kukimbia km. 10.
Nipe list ya vyakula ninavyotakiwa kula viendane na bei ya mtanzania anaeishi kwa chini ya Dola moja (sh 2322) kwa siku.Piga msosi wa kutosha hasa vyakula vya wanga na protein, kama sivyo utazeeka kabla ya mda. Ushauri: punguza angalau mara 2 kwa wiki
Tizi lako linatafuna sana nguvu ya mwili tofauti nahili nalofanya Mimi kujenga mwili...zoezilako hilo unaweza jikuta unafika miaka 45 kunyanyua mguu huwezi kabisa bakora inakuhusuKwa hiyo mi kila siku huwa Napiga tizi? Kwa hiyo hakuna haja ya kwenda Gym wala ground kupasha misuli