Nikitoka kufanya mapenzi huwa nakula kama mchwa

itakua kweli me pia kuna siku nilifanya mapenzi nilikua cjala weeeeh....ningeongeza bao moja ninge kufa cku hyo 😀😀😄😄
 
Piga msosi wa kutosha hasa vyakula vya wanga na protein, kama sivyo utazeeka kabla ya mda. Ushauri: punguza angalau mara 2 kwa wiki
 
Piga msosi wa kutosha hasa vyakula vya wanga na protein, kama sivyo utazeeka kabla ya mda. Ushauri: punguza angalau mara 2 kwa wiki
Nipe list ya vyakula ninavyotakiwa kula viendane na bei ya mtanzania anaeishi kwa chini ya Dola moja (sh 2322) kwa siku.
 
Kwa hiyo mi kila siku huwa Napiga tizi? Kwa hiyo hakuna haja ya kwenda Gym wala ground kupasha misuli
Tizi lako linatafuna sana nguvu ya mwili tofauti nahili nalofanya Mimi kujenga mwili...zoezilako hilo unaweza jikuta unafika miaka 45 kunyanyua mguu huwezi kabisa bakora inakuhusu
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom