Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,222
- 2,929
Am happy nami nimeenda sambamba na hiyo series kwan nimefanikiwa kuona czon 2 yote mpaka epsode ya 23,4sure km mtu hujaona hili picha na kufaidi uhondo na visa mikasa ya mle hujaenjoy raha za hii dunia bado!