dah mkuu hii heading yako kidogo initie presha, season 3 wakati watu tupo season 2 e19 na tunajiona tuko latest...nlitaka nishangae hiyo 3 imeanza lini? anyway, kwa kukusaidia GONGA HAPO CHINI ila ni lazima udownload na kuinstall UTORRENT (hii search google watakupa fasta tu):Jamani kwawale wataalam wa it naomba msaada niweze kujua jinsi nitakavyo weza kupata hii series ya nikita bure kwenye net naitamani sana na siwezi kusubiri cd za kichina nina gb zakutosha lakini sina taaluma yakuweza ku download bure plz wakuu naomba msaada.
mkuu epsode ya 20 tayari ipo hewani : http://kat.ph/usearch/nikita%20s02e20/Nikita season 3 bado haijatoka. Imefikia season 2 episode 19. Unaweza kudownload kwa kutumia torrents. Download kutumia site ya www.kat.ph
Wakuu sio siri sikumbuki the last time nilitumia torrent hehe! hii nijia ya more faster to get any series you want na without any torrent software needed, kwa mfano lets try nikita s02e20:
Kwanza nenda FilesTube - Search & Download Files
katika search bar andika kwa mfumo huu "jina la series" "season ya ngapi" "episode ya ngapi" like hapa ni:
nikita s02e20
then ikisearch angalia kushoto hosting site chagua megashares:
Then italeta results kibao chk hii page : Nikita s02e20 - free download - (10 files)
kama mp4 zipo chagua mp4 coz huaga ni 250mb na the best HD Quality, au kama hamna kabisa chagua avi but hawaga around 350mb.
After that chagua ya kwanza ambayo kwa sasa ni Nikita S02E20 HDTV x264 LOL na fungua iyo link and you will get this download link:
Megashares - Drag. Drop. Yup. The first site to provide FREE file hosting with drag n drop support.
sasa copy that nafunga: Link Premium Generator | Generate Premium Links
then ipaste pale kisha click GENERATE na after 2 seconds scroll download na download your episode:
utapata direct link kama hi:
http://rapidgen.net/get/ZfyXH/Nikita.S02E20.HDTV.x264.LOL.mp4
Just do the following steps kwa episode yoyote ya series yoyote na utaishusha within 15 minutes tu very fast na idm
mkuu nimejaribu but kila nikisha generate link pale chini kwenye sehemu y ku clik download nakuta haifanyi kazi na juu yake wananionyesha file name tu bila likn yoyote...msaada pliz!Wakuu sio siri sikumbuki the last time nilitumia torrent hehe! hii nijia ya more faster to get any series you want na without any torrent software needed, kwa mfano lets try nikita s02e20:
Kwanza nenda FilesTube - Search & Download Files
katika search bar andika kwa mfumo huu "jina la series" "season ya ngapi" "episode ya ngapi" like hapa ni:
nikita s02e20
then ikisearch angalia kushoto hosting site chagua megashares:
Then italeta results kibao chk hii page : Nikita s02e20 - free download - (10 files)
kama mp4 zipo chagua mp4 coz huaga ni 250mb na the best HD Quality, au kama hamna kabisa chagua avi but hawaga around 350mb.
After that chagua ya kwanza ambayo kwa sasa ni Nikita S02E20 HDTV x264 LOL na fungua iyo link and you will get this download link:
Megashares - Drag. Drop. Yup. The first site to provide FREE file hosting with drag n drop support.
sasa copy that nafunga: Link Premium Generator | Generate Premium Links
then ipaste pale kisha click GENERATE na after 2 seconds scroll download na download your episode:
utapata direct link kama hi:
http://rapidgen.net/get/ZfyXH/Nikita.S02E20.HDTV.x264.LOL.mp4
Just do the following steps kwa episode yoyote ya series yoyote na utaishusha within 15 minutes tu very fast na idm
mkuu nimejaribu but kila nikisha generate link pale chini kwenye sehemu y ku clik download nakuta haifanyi kazi na juu yake wananionyesha file name tu bila likn yoyote...msaada pliz!
kwisha kazi....thanks meen!!Oh ndio sometimes inazinguaga hapo.. what u need to do ni right click pembeni ya download then chagua view source code...
zikitokea press CTRL + F then weka maneno yaliopo kabla ya download botton...
then ukiona kwny source code angalia kwny huo mstari kuelekea kulia mpaka utaona action then baada ya hapo utaona
link illiogenerated icopy na ipaste katika idm and kazi imekwisha!!!
Jamani kwawale wataalam wa it naomba msaada niweze kujua jinsi nitakavyo weza kupata hii series ya nikita bure kwenye net naitamani sana na siwezi kusubiri cd za kichina nina gb zakutosha lakini sina taaluma yakuweza ku download bure plz wakuu naomba msaada.
Nikita season 3 bado haijatoka. Imefikia season 2 episode 19. Unaweza kudownload kwa kutumia torrents. Download kutumia site ya www.kat.ph
mkuu unaishi dunia gani....kitu kimetoka tangu juzi...tushaitizama na tushamaliza...tunatafuta ya 21 saizi!!! pole...Nikita S02E20 haijatokabado , ndani ya dakika 30 kuanzia sasa itakuwa heweni
Usiwachanganye watu mkuu. nikitas02e20 ilikuwa hewani jana ijumaa. hiyo juzi yako ni ipi hiyo? au usikute unaangalia trela. au wewe uko hukohuko jikoni?mkuu unaishi dunia gani....kitu kimetoka tangu juzi...tushaitizama na tushamaliza...tunatafuta ya 21 saizi!!! pole...
tehe...shauri yako...kuwa uploaded kwenye net jana haimaanishi ndo imetoka jana....Usiwachanganye watu mkuu. nikitas02e20 ilikuwa hewani jana ijumaa. hiyo juzi yako ni ipi hiyo? au usikute unaangalia trela. au wewe uko hukohuko jikoni?
tehe...shauri yako...kuwa uploaded kwenye net jana haimaanishi ndo imetoka jana....