Nikirudi utanikoma!

Nikirudi utanikoma!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Jamaa kamdanganya mkewe kwamba anasafiri toka dar kwenda mbeya kwa ajili ya semina ya wiki moja.Kumbe jamaa hakwenda mbali saana bali ni mtaa wa pili tu kafungiwa na kimada chake.Siku moja asubuhi akaamka akiwa amevaa taulo akichungulia uelekeo wa nyumba yake.Mara akaishuhudia njemba ikitoka nyumbani kwake ikiwa imevaa kanga ya mkewe inapiga mswaki.
Jamaa akaenda kwa jazba akamuuliza yule jamaa;wewe ni nani na unafanya nini hapa? Njemba ikajibu;mimi ni mpenzi wa huyu dada na niko hapa kwasababu mume wake yupo semina mkoani mbeya kwa wiki moja.
Jamaa akamjibu kwa hasira huku akiondoka😛umbavu,utanikoma nikirudi toka semina!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom