Nikiri kwamba nilipoanza kusoma vitabu vya Robert Kiyosaki nilionekana kwa wapenda Fiction kama nata

wigo

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
913
501
brian tracy psychology of selling.png KEYS TO SUCCESS.png NEW_RDPD_Book_mockup1.jpg


Wapo watu wasiopenda kusoma wanaokosoa usomaji wa vitabu hivi. Hoja yao kubwa ni eti pesa hazipo vitabuni na kwamba vitabu hivi ni kujiburudisha nafsi tu na hakuna lolote.
Nikiri kwamba nilipoanza kusoma vitabu vya Robert Kiyosaki nilionekana kwa wapenda Fiction kama natafuta faraja.

Lakini nikasoma.

Rich dad poor dad

Cashflow Quadrant
Why we want you rich
Guide to Investment
Retire Young Retire Rich
The Bussiness of 21st century na kadhalika.

Lakini hatimaye Nikaona mabadiliko.
Kweli vitabu hivi vimebadili kabisa maisha yangu. Vilianza na kugeuza mtazamo wangu kwenye mambo ya fedha na baadae nikaanza kutendea kazi. Nimeona mabadiliko. ni vitendo.


Kama una tabia ya kusoma unaweza kutafuta vitabu vya Stephen Covey ambavyo kwa kweli nimeona mshindo kwa mwenendo wangu.


7 habits of highly effective people
7 habits of highly effective FAMILY
The 8th habit
First things first
The speed of trust

Nathamini watu ambao kushirikiana maarifa.

vitabu hivi vipo katika audio (AUDIO BOOKS) na E-BOOKS pia, vinapatikana dsm na mikoani kwa ujumla,pia tunakuletea pale ulipo dsm.hata mikoani tunakutumia kwa basi au DHL.




wasiliana nasi au oda leo :
0656 579305
0684 579305
email: wigotz@gmail.com
 
  • Nakili ni watu wachache sana kwa maisha tunayoishi sasa wanaokumbuka japo kuzungumzia tu vitabu, acha kusoma.
  • Nimependa sana post zako kuhamasisha usomaji wa vitabu.
  • Katika hiyo list ni kitabu kimoja tu nilichokisoma "Rich dad poor dad" ni takutafuta kwa mahitaji ya vitabu vingine.
Ubarikiwe ndugu
 
Back
Top Bottom