nikipiga simu hapokei

nikipiga simu hapokei

mbuyake

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
347
Reaction score
630
ilikuwa jana mwenzenu kazi zangu ni za ucku nilichomoka kwenda kazini nikasahau simu nyumbani asubuhi nilipofika home nimekuta missed call tisa za namba ngeni hapohapo nikakutana na msg kwa mbona hupokei cm yangu utanifuta ukipenda kwenye voda yangu basi niaanza kumpigia hapokei huyu demu qwangua nikikata na kurudia nakuta ipo bize nasubiri hata abip lakin hafanyi hvo nimepiga zaidi ya mara kumi lakin kagoma kupokea nini nifanye jamani
 
Ebu nyoosha maelezo 2kusaidie kijana.
 
na hii iihitaji thread?

huwezi tuma sms kumueleza hukuwepo na ndo umerudi?
 
ilikuwa jana mwenzenu kazi zangu ni za ucku nilichomoka kwenda kazini nikasahau simu nyumbani asubuhi nilipofika home nimekuta missed call tisa za namba ngeni hapohapo nikakutana na msg kwa mbona hupokei cm yangu utanifuta ukipenda kwenye voda yangu basi niaanza kumpigia hapokei huyu demu qwangua nikikata na kurudia nakuta ipo bize nasubiri hata abip lakin hafanyi hvo nimepiga zaidi ya mara kumi lakin kagoma kupokea nini nifanye jamani

mtumie vocha ya buku 5 halafu ukae kimya....kesho asubuhi utani pm majibu
 
Ila jf inakera kumbe,yaani demu hajapokea simu unakuja kuanzsha uzi humu. Umeshndwa kufikiria na kuamua? Usipendd kila kitu kukianika humu. Jifunzeni kutatua matatizo yenu wenyewe.
 
nimetuma sms tena ya kusingizia ugonjwa lakini hajibu cha kushANGAZA YEYE NIKITUMA SMS DELIVERY HAIJI WAKATI SIMU YAKE IPO ON LAKNI ZA WENGINE NIKITUMA NAPATA RIPOT YA DElivery
 
ilikuwa jana mwenzenu kazi zangu ni za ucku nilichomoka kwenda kazini nikasahau simu nyumbani asubuhi nilipofika home nimekuta missed call tisa za namba ngeni hapohapo nikakutana na msg kwa mbona hupokei cm yangu utanifuta ukipenda kwenye voda yangu basi niaanza kumpigia hapokei huyu demu qwangua nikikata na kurudia nakuta ipo bize nasubiri hata abip lakin hafanyi hvo nimepiga zaidi ya mara kumi lakin kagoma kupokea nini nifanye jamani

yani namba ngeni ya "demu" wako??
 
Yaani hilo linakusumbua? Nikikuta missed call na mtu harespond nafuta namba.
 
nimesema namba ngeni sababu yeye anatumia voda lakini usku huo alitumia namba ya airtel ambayo sina ndo maana nikaaema ngeni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom