miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
ilikuwa jana mwenzenu kazi zangu ni za ucku nilichomoka kwenda kazini nikasahau simu nyumbani asubuhi nilipofika home nimekuta missed call tisa za namba ngeni hapohapo nikakutana na msg kwa mbona hupokei cm yangu utanifuta ukipenda kwenye voda yangu basi niaanza kumpigia hapokei huyu demu qwangua nikikata na kurudia nakuta ipo bize nasubiri hata abip lakin hafanyi hvo nimepiga zaidi ya mara kumi lakin kagoma kupokea nini nifanye jamani
Mtumie tigopesa na umwambie kuna dili ulikuwa unafanya kwahyo hiyo uliyomtumia ni nauli ila mzigo kamili upo hom........akija unamgegeda na kesi na imeisha