mdetichia
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 5,292
- 2,169
Kamanda naomba unisaidie majibu tu.
Yaliyopita sii ndwele tugange yajayo C.D.M wewe na uzandiki wako ni mangapi uliyomkosea MUUMBA WAKO na usamehewa hewa ya bure afya unapewa nzuri anakuangazia jua mchana usingingizi unapewa bure hatuishi kwa visasi kusameheana , mapendo, amani,ndio nguzo ya watu wenye hofu ya MUNGU wivu majungu , fitna, uchawi ni Nguzo za shetani wewe upo kwenye nguzo ipi mdau.