Nikipata majibu ya maswali haya narudi CHADEMA

Wewe ni janga la kitaifa...hatukutaki, uhitajiki, na hatutakuhitaji kamwe chadema....Tabia zako zinafanana kabisa na zile ulizokuwa nazo wakati wa ujauzito wa mama yako.

Mbona unarukaruka? umeambiwa jibu maswali chama kipate wanachama wengi maana hayo maswali yasipojibiwa itakuwa vigumu chama kuaminika,sasa matusi ya nini au ndiyo ulivyofundishwa na wazazi wako?
 
Sijui umekula maharage ya wapi wewe,
Kuna moja la muhimu umeliwacha kwa makusufi
Zitto anatumiwa na TISS na CCM au hili majibu yake unayo?
Jibuni maswali yaliyoulizwa ili watanzania tuelewe majibu yake,watu wengi wanasubiri majibu.
 
Last edited by a moderator:
In politics there is no permanent hostile.........u dance according to the tune.

hahahaaa,kwa swala la CUF na kina Mbatia na Kafulira,bado hiyo kauli yako hai "fit" kabisa,sababu hawa hawakuwa maadui kama ilivyo vyama vya siasa visivyo kuwa na dola,vinaitwa upinzani na si vyama vya uadui.
Pili hayo mengine ya kuwaahidi wananchi mtafanya hivi halafu mnaenenda kinyume chake je,nayo ni nini kama si usaliti?
 
Sijui umekula maharage ya wapi wewe,
Kuna moja la muhimu umeliwacha kwa makusufi
Zitto anatumiwa na TISS na CCM au hili majibu yake unayo?

huna uwezo wa kujibu waite yericko,kubenea, saa8 beni, mnyika, lema ,waje wajibu hapa
 
Last edited by a moderator:
we chizi nini...nani akae chini aanze kujibu huu utumbo???hakuna wa kukujibu kafie mbali
 
Mkuu chukua like ya maandishi.
Hongera kwa maswali yako yenye hoja za msingi sana,lakini kwa kukutahadharisha tu,tegemea kupata matusi,dharau,kuitwa majina na kebehi kwa wana CDM wengi wa humu,maana kwa hao wengi wao,kujenga hoja ni mtihani walioushindwa kabla hawajaufanya.
hata kiongozi wao tuu ni dj khaleed hoja watajulia wapi yawezekana hata hawa wachangiaji wameshakunywa viroba. Zitto anadili na sera za ACT ila wao wanadili na majungu! tatizo shule hakuna......!
 
Utaua sasa.

Utabaki kuona reply 1: views 1000.

Maswali kama watu hawataki kuyasikia. Wanachotaka ni kile cha kuambiwa siku hiyhiyo, kesho kingine.
 
Back
Top Bottom