Nikiona mwanaume mweusi nachanganyikiwa

Nikiona mwanaume mweusi nachanganyikiwa

habari ya hapa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
12,789
Reaction score
8,753
Bandugu natumai hamujambo hapo mulipo, na poleni na kazi za ujenzi wa Taifa, binafsi niko wa afya tele, Mwenzenu nina katatizo na pengine ni tatizo kubwa na linahitaji tiba, kimsingi NAPENDA MWANAUME MWEUSI tena ule weusi wa kuteleza yaani huwa nachanganyikiwa lkn bado sijabahatika kumpata, ila sijakata tamaa nawomba Mungu ipo siku atanipa.!!!
 
vipi huyu anafaa???

1045135_404847216299065_108000975_n.jpg
 
Bandugu natumai hamujambo hapo mulipo, na poleni na kazi za ujenzi wa Taifa, binafsi niko wa afya tele, Mwenzenu nina katatizo na pengine ni tatizo kubwa na linahitaji tiba, kimsingi NAPENDA MWANAUME MWEUSI tena ule weusi wa kuteleza yaani huwa nachanganyikiwa lkn bado sijabahatika kumpata, ila sijakata tamaa nawomba Mungu ipo siku atanipa.!!!

kwa hyo unatafuta ama? Nikuibie siri.This dude here is dark-skinned too.Basi zama kwny PM.
 
Am black,tall, hndsome na nina masters japo wasifu kwa mbali kama vipi pm me ur namba..angalizo uwe mweupe kwani niko much addicted na white material
 
Mkuu Mndengereko yaani umepiga Ikulu
maana jamaa ni mweusi hasa
mwenye hitaji akubali yaishe tu.
 
Tafuta vinyago vile vyeusi japo vikufariji for a while!!! Lol..
 
Nina mdogo wangu huyu anatafuta mchumba, kama umempenda tuwasiliane:
 
Ahahahaa..hujasema unampenda mwanaume mweusi for what exactly???...kumuona tuu kuduu naye tuu au hata kuolewa naye pia?..kuwa spesifiki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom