Dah! Kuna jirani wanamsumbua balaa , anadhalilika natamani hata nimlipie ingawa na mimi shida zimenijaa,kila siku getini ngo ngo ngoo... wanatukana pia.
Hivi ukirekodi ushahidi wa matusi huwezi kushitaki?

Hii hutoboi,na kama mpiga hii kabali mlevi,kala maharage na mayai,akijamba hapo sharti ufe,maana kuomba msamaha huwezi,kurusha mikono kama mieleka haiwezekani