Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Feb 10, 2018 #41 Utakua umefanya la mbolea
Gezuz JF-Expert Member Joined Dec 17, 2016 Posts 1,010 Reaction score 1,352 Feb 10, 2018 #42 Hata ukimfumania chumbani kwako itabidi usimshike ugoni na wala usiumie moyo....mpongeze tu kwani yatakua ni matokeo ya kutoshika simu yake.
Hata ukimfumania chumbani kwako itabidi usimshike ugoni na wala usiumie moyo....mpongeze tu kwani yatakua ni matokeo ya kutoshika simu yake.
Gezuz JF-Expert Member Joined Dec 17, 2016 Posts 1,010 Reaction score 1,352 Feb 10, 2018 #43 Econometrician said: huwezi ukaishi na mwanamke ndani miaka yote usiishike simu yake huo ni uongo Click to expand... Mkuu hawa hawajui thamani ya mwanamke wa ndoa......wameshindwa kutofautisha maumivu ya kumegewa girl friend/demu au hawala na mke wa ndoa. Na hii ni kutokana bado hawajayakabili majukumu ya kulea mke na familia kwa ujumla.
Econometrician said: huwezi ukaishi na mwanamke ndani miaka yote usiishike simu yake huo ni uongo Click to expand... Mkuu hawa hawajui thamani ya mwanamke wa ndoa......wameshindwa kutofautisha maumivu ya kumegewa girl friend/demu au hawala na mke wa ndoa. Na hii ni kutokana bado hawajayakabili majukumu ya kulea mke na familia kwa ujumla.