Nikioa nitazama uvinza!!.

Kati ya kitu ambacho nilishaga wahi kujaribu nakushindwa ni kupiga deki/kuzama chumvini/uvinza.

Nilitapika sana na kukoswa hamu ya kula chakula ndani ya siku tatu
sio poa, inaonyesha ulikutana na harufu ya mwendo kasi
 
Achana na hayo kuna ugonjwa flani hv waitwa HPV (Human Papiloma Virus) bwana we ni balaa haufai ukimwona yule mgonjwa cidhani kama utarudia kudeki tena, jaribuni kugoogle nilikuwa na picha zake nikapoteza simu ni balaa wapendwa lkn utakuta walimwengu wanadeki mpaka 0715...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…