Nikioa nitazama uvinza!!.

Ndio ninao, ila bado hujaleta proof kwamba HPV inasambazwa kwa kudeki bahari pekee. Nshakwambia leta proof sio maneno.
worry out maswala ya kitabibu na kitaalamu huwa sikurupuki maana si ligi hii ila sehemu ya kupeana yaliyo mazuri hasa katika mambo nyeti ka haya ya afya, ntakuja nayo mkuu huna haja ya kuwa na haraka
 
Mm sijapotosha kwani kuna ulazina gani wa kuzama chumvin?
utatamani kuendelea kudeki k kwa ulimi
Kwa hiyo quote yako ya juu, kwa mtu asiyekuwa na ufahamu mzuri kuhusu jambo hilo atasema na milele atafikiria HPV ni gonjwa la wapiga deki tu na yeye kwa sababu hafanyi oral sex basi yupo salama, Je ni kweli ama uongo?
Kuhusu kuzama chumvini hayo ni matakwa ya mtu, kama wewe hupendi basi usifikiri kila mtu hapendi wala usiwatishe.Elimu uliyotoa wewe ni 10% kuhusu HPV asilimia 90% ya njia zingine ambazo waweza pata HPV uliziacha wapi?
 
worry out maswala ya kitabibu na kitaalamu huwa sikurupuki maana si ligi hii ila sehemu ya kupeana yaliyo mazuri hasa katika mambo nyeti ka haya ya afya, ntakuja nayo mkuu huna haja ya kuwa na haraka
Katika watu wasiokuwa na haraka nadhani mimi ni mmoja wao mkuu, ukileta scientific proof yoyote HPV inasambazwa kwa kunyonya papuchi pekee tag me.
 

Kazi kwel kwel
 
kwahyo hujui niko mbali ss hv eh..hahaa huku naishi kisela balaa...yupo mbali..narudi july thou
Haya Ukirudi uende kwa akakupige deki πŸ˜‚πŸ˜‚. Nahisi unatamani kunipiga mwakwenzi πŸƒπŸƒπŸƒ
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…