Nikinywa pombe silewi tatizo ni nini?

mh. masebuna HONGERA kwa kuhitimu unywaji pombe. Nakushauri ukachukue fomu za kujiunga na elimu ya juu zaidi ... UNGA!
Nahakika 'furaha' yako itarejea kama zamani. God bless you.

Hapa huko sifirii kwani lengo ni kupigana na hali hii mkuu.
 
Wewe ni mwenzangu kabisa, ila mimi nilishatoka kwenye beer muda mrefu sana
siku hizi natandika viroba kwa kwenda mbele kila siku lazima nifyonze viroba
14 hapo ndipo napata usingizi safiiii
nakushauri chomoka kwenye bia njoo upande wangu

Mkuu lengo ni mimi kukabiliana kwa hilo ikiwezekana niache kwani hata leo nilidhamiria kutokunywa muda kidogo nikaona kama napata mkazo fulani na nakosa raha ikanibidi nikanywe bia 3 na viroba 2 hapa hata hivyo sijisikii kwenda kulala.
 
Muda wote wa miaka 26 ukinywa castle lager? kama sikosei, castle lager haijafikisha umri huo kwa TZ! Labda kama ulikua unaletewa kutoka South!

Nilianzia kwenye safari nikaja kwenye castle lager
 
anza na bangi kwanza halafu ndiyo ufanye finishing kwa pombe halafu utakuja kunieleza matokeo yake
 
Kwani madhumuni ya kunywa ni kulewa?

Nisipo kunywa mkuu nakosa usingizi hali inayonilazimu ninywe angalau castle 6mpaka nandiyo napata usingizi hilo ndiyo tatizo langu napigana niache pombe lakini nipate usingizi na nisipo kunywa nakuwa nipo domant.
 
Pepo la ulevi, utabalisha vilevi vyote lakini haitakusaidia.

Angalia badget yako ya ulevi ilivyo nzuri:-

Castle 15 x 2000.00 = 30,000.00
Konyagi 1 x 5000.00 = 5,000.00
Castle 10 x 2000.00 = 20,000.00 kwa marafiki
Jumla 55,000.00

Kwa mwezi 1,650,000/=

Mkuu hilo nitatizo ingawa siyo kwamba nakunywa hvyo kila siku ila siwezi pita siku bila kunywa kwa ucahache bia sita wakati mwingine naongeza na viroba ili tu nipate usingizi ingwa kweli wakti mwongine unakuata natumia zaidi ya hiyo nikiwa na marafiki so nipo kwwenye shida
 
Kunywa gongo a.k.a kaitaba uone mziki wake na kama haitoshi changanya kidogo na mbege au lubisi ya juzi.
 
anza na bangi kwanza halafu ndiyo ufanye finishing kwa pombe halafu utakuja kunieleza matokeo yake

Lengo langu si kulewa nataka nijue tatizo ni nini hasa mapa hali imejitokeza wakati awali nikinywa kido nakuwa poa lakini siku hizi hali imekuwa tofauti madhalani nilikuwa siku ya kusherekea miaka 11 ya ndoa yangu nilijikuta nakunya castal light more than 26 .
 
kama tatizo ni usingizi nafikiri ugolo ukichanganya na hizo beer basi utasijisikia safi kabisa na utapata usingizi murua kabisa! Au ngojea tumuulize MziziMkavu anaweza akatusaidia! Na unaweza kulewa vizuri.
 
Last edited by a moderator:
kama tatizo ni usingizi nafikiri ugolo ukichanganya na hizo beer basi utasijisikia safi kabisa na utapata usingizi murua kabisa! Au ngojea tumuulize MziziMkavu anaweza akatusaidia! Na unaweza kulewa vizuri.
Mkuu Mkuu wa chuo ikiwa huyu mkuu.@MASEBUNA Akinywa pombe halewi basi itabidi aende kwenye kiwanda cha kutengeneza Bia wamtengenezee Bia yake mwenyewe ya kulewa ndio anaweza kulewa pasipo hivyo hata akinywa Bia ngapi hataweza kulewa ameshakuwa Sugu huyu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mkuu wa chuo ikiwa huyu mkuu.@MASEBUNA Akinywa pombe halewi basi itabidi aende kwenye kiwanda cha kutengeneza Bia wamtengenezee Bia yake mwenyewe ya kulewa ndio anaweza kulewa pasipo hivyo hata akinywa Bia ngapi hataweza kulewa ameshakuwa Sugu huyu.

au labda a import zile ambazo hazina tbs kutoka Kenya wanaziita chang'aa anaweza akalewa labda.
 
Last edited by a moderator:
Wa2 wanakuinjoy 2 hapa! Pole sn, ww ushakuwa adicted. Kama kweli unadhamira ya kuacha pombe nakushauri umwone Dr. Huko utapata msaada!
 
Kiukweli nimejaribu sana hizi pombe kali baada ya kushauriwa na watu kadhaa tatizo ni lili lile tena afadhali nianze na bia then nipate japo toti 2 au 3 kidogo lakini nikinywa kali nalazimika kunya bia 2 mpaka tatu ili kidogo nipate usingizi.

kesho tuanze wote nitakupa namba yangu ya simu ninapoanza na wewe unaanza usipolewa acha pombe,mimi muda huu napiga grants nahisi burudani iko duniani.ukifa ni nyama ya udongo.
 
Kama unataka kulewa, ukifika agiza safari moja piga tarumbeta, agiza castle lager moja nayo piga tarumbeta, agiza guiness nayo mwendo ule ule, piga viroba original kavu viwili, tequilla shot moja malizia na sambuca shot moja. Vyote hivyo ndani ya nusu saa kesho leta majibu. Kukaa bar muda mrefu ni kupoteza pesa na muda!
 
kaka nilikua na tatizo kama lako ila Gonga manjiriri ma mataptap kwa xana kama caste 2000*10 ni li mbao we pombe haziendani na culture yenu unaforce tumia localy nana kama konyagi tumia kiroba jogoo ma samson we hata ukinywa wisk haitapita sehem iko inatakiwa inaeza ingia kwenye firigisi badala ya kuchujwa kwenye Figo
 
Back
Top Bottom