Nikinyoa au kufua bocxar ni ugomvi

Nikinyoa au kufua bocxar ni ugomvi

emma shayo

Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
78
Reaction score
16
Yaan sielewi kama ni mapenzi au ni nini yaani wife akikuta nimenyoa sirini au nimeoga nikafua pichu hua ananimandi sana anataka yote afanye yeye hivi yupo sawa au ni mambo ya kishirikina?
 
kimbia mchawi huyo;nywele anazipeleka kw wachawi
 
Yaan sielewi kama ni mapenzi au ni nini yaani wife akikuta nimenyoa sirini au nimeoga nikafua pichu hua ananimandi sana anataka yote afanye yeye hivi yupo sawa au ni mambo ya kishirikina?

Mkeo ana wivu wa kizamani
 
Duuuhhhhh,

Vijana kazi mnayo?

Hivi kuna sababu kumsaidia mtu ambaye hataki kudelagate?
 
mkuu anataka akupige kipala ..angalia asikupelekee malikiti???
 
Weka picha yake ili tumtathimini tujue kama ni mahaba au ushirikina, siwezi kumjibia mtu nisie mjua. tupia photo
 
Usharogwa wewe...siku ukimuacha babu ashiki network siku Hiyo Hiyo.
 
Yaan sielewi kama ni mapenzi au ni nini yaani wife akikuta nimenyoa sirini au nimeoga nikafua pichu hua ananimandi sana anataka yote afanye yeye hivi yupo sawa au ni mambo ya kishirikina?
Watu bwana mkipendwa shida msipopendwa shida wenzio tunatafuta hao wa kutunyoa hawapatikani we unaona unalogwa hiyo ndo kazi ya mwanamke anayejitambua asipokunyoa yeye anajua utanyolewa kwingine,na raha yake akuweke smart acha ushamba wewe,na kufua nguo zako za ndani wala si kazi yako ni yake we tafuta seti ukibadilisha weka pembeni akija atafua muda wa kujifulia ulishapita una mtu wa kukutunza.
 
Kidumba umesema kweli kabisa.

hawa jamaa hawajazoe kupendwa wao kazi yao kulalamika tu.

Au sijui wamezoea ugomvi na mipasho?
 
Back
Top Bottom