Nikinyoa au kufua bocxar ni ugomvi

Nikinyoa au kufua bocxar ni ugomvi

Watu bwana mkipendwa shida msipopendwa shida wenzio tunatafuta hao wa kutunyoa hawapatikani we unaona unalogwa hiyo ndo kazi ya mwanamke anayejitambua asipokunyoa yeye anajua utanyolewa kwingine,na raha yake akuweke smart acha ushamba wewe,na kufua nguo zako za ndani wala si kazi yako ni yake we tafuta seti ukibadilisha weka pembeni akija atafua muda wa kujifulia ulishapita una mtu wa kukutunza.

You said it all!
 
sa tatizo ni nini hapo? unapenda ufue mwenyewe eeh. anza kujifulia na nguo zako zote, na chu.pi zake pia umsaidie kufua. kwa mawazo yako hayo hasi, unakoelekea utaanza na kujipikia chakula chako tu
 
Kuna raha yake kusheviwa. Unapakwa mafuta/shaving cream taratibu unanyolewa taratibu lazima uinterrupt hiyo kazi. Baki na ujinga wako atushave wengine uchapiwe
 
Unapendwa hupendeki Sasa hapo unataka ushauri gani bas ngoja nkushauri unalogwa wewe hujui tu
 
Acha ushamba ushafika tanga wewee watu wanatawazwaa
 
Yaan sielewi kama ni mapenzi au ni nini yaani wife akikuta nimenyoa sirini au nimeoga nikafua pichu hua ananimandi sana anataka yote afanye yeye hivi yupo sawa au ni mambo ya kishirikina?

Tabu ya kukulia Bara hii. Wenzio Tanga huko wanakogeshwa maji yenye mdalasini na Iliki,najua siku ukifanyiwa hivyo utakuja hapa kusema umeogeshwa maji yaliyotambikwa.
 
we furahi tu ...mwache afue si ametaka mwenyewe... na ndio mke huyo hakuna ubaya
 
Yaan sielewi kama ni mapenzi au ni nini yaani wife akikuta nimenyoa sirini au nimeoga nikafua pichu hua ananimandi sana anataka yote afanye yeye hivi yupo sawa au ni mambo ya kishirikina?

Khe anakunyoa huko 👇🏼👇🏼
 
NIPE NAMBA ZAKE...... NAHITAJI HUDUMA HIYO,,,
HUYO ATANIFAA, UKINIPA NAMBA ZAKE MPE TALAKA.....

Shenzi type.......
 
Back
Top Bottom