Nikinyoa au kufua bocxar ni ugomvi

Nikinyoa au kufua bocxar ni ugomvi

teh teh teh teh teh!! ww mapenzi umeanza karibuni eeeh? Acha utoto !! ungekuwa karibu ningekuzaba kibao!!
 
Labda umfungulie barber shop, anapenda kuchezea nywele huyu
 
Na itakuwa wkt wa kugegeda anakugegeda yeyee na kukuonyesha muelekeo nk ukitaka wewe anakunyuma..
 
Acha ushamba ushafika tanga wewee watu wanatawazwaa



duu mkuu yaani nimecheka hadi nikamwaga chai mbele za watu,

nlikuwa na rafiki yangu mtanga ( mwanaume) hajawahi nitongoza nami namheshimu ila sasa nlikata urafiki maana nliona nategwa kabisaa naelekea kumdondokea,

ukienda kumtembelea anakumenyea chungwa, tango lamenywa kistyle, maji yakunawa mikono yana uvuguvugu ( na joto lote lile), ukivua viatu nje katikati ya stori anatoka anavifuta fresh analeta eti vaa tu best usikanyage chini, ck moja nlienda na mafua makali kaenda nunua leso nyingine kama ile yangu.. duu nkasema hapa ntakuja mtongoza mi mwenyewe buree alikuwa na vijimambo aiseeee
 
Yaan sielewi kama ni mapenzi au ni nini yaani wife akikuta nimenyoa sirini au nimeoga nikafua pichu hua ananimandi sana anataka yote afanye yeye hivi yupo sawa au ni mambo ya kishirikina?

Hiyo ndo yenyewe we enjoy mahabati kaka.
 
Duh!!! hiiii kubwa kuliko aseeeeee
 
***** zenu mnatuumiza mbavu lazima ajiulize kwanini wewe na sio yeyeeeee. Unanyoa hujui kuna mnyoajiiii
 
Back
Top Bottom