Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,762
- 4,516
Zinapatikana wapi?Njia za kuzuia nyoka ndani,bustanini au mashambani ni nyingi Sana ni kujifunza zaidi
Ingia amazon,ebay, IndiaMART, alibaba bei sio kubwa Sana ni affordable,utazipata hapa tza sijafanya tafiti Kama zipoBongo
Zinapatikana wapi?
ThanksIngia amazon,ebay, IndiaMART, alibaba bei sio kubwa Sana ni affordable,utazipata hapa tza sijafanya tafiti Kama zipo
Siyo kweli! Kugongwa, utagongwa tu hata ukiwa na hilo jiwe! Kwa kawaida jiwe hilo hufyonza sumu ikitokea umengatwa na nyoka. Unachanja na unabandika na kulifungia hilo jiwe kwenye hizo chale!Tafuta jiwe la nyoka linazuia kuumwa na nyoka.
Usiongee Vitu usivyovijua....Tafuta jiwe la nyoka linazuia kuumwa na nyoka.
Pana jiwe la aina mbili la kuzuia kugongwa na nyoka na la kuondoa sumu ya nyoka hapa ni mawe mawili tofautiSiyo kweli! Kugongwa, utagongwa tu hata ukiwa na hilo jiwe! Kwa kawaida jiwe hilo hufyonza sumu ikitokea umengatwa na nyoka. Unachanja na unabandika na kulifungia hilo jiwe kwenye hizo chale!
Ila kama ni wewe ulinzi unao hata hiyo mdudu hawezi kukukaribia.Nisali sala ipi mkuu? Na vipi kama ni nyoka aina nyingine.
Tupe shule hapaIla kama ni wewe ulinzi unao hata hiyo mdudu hawezi kukukaribia.
Tumepewa akili za kuwatawala viumbe vyoteWadau wamedadavua hasa, hata Mimi nimefaidika sana, nataka nikaweke kempu porini nilikuwa nawaza hao wadudu hatari, juzi kati nimemkili mmoja mbishi hataki kukimbia pamoja na kumtisha, hao wadudu wanajiamini na sumu yao ila hawana uelewa kuwa binadmu ana akili nyingi na vifaa vingi vya kumuangamiza.
Hivi ukiwa na ACID conc huwezi kumyeyusha kwa spray pump ?
Kwa jina la mtoa mada,hawezi kukaa kwenye nyoka huko anaposema.Tupe shule hapa
Yasaidia pia, hawapendi ile harufu ya oil chafuShukrani sana kwa elimu hii ,wengine naona wanamwaga "DUDUBAYA" aka OIL CHAFU KUZUNGUKA mazingira ya kiwanja(Nyumba).
Tafuta jiwe la nyoka linazuia kuumwa na nyoka.
Siyo kweli! Kugongwa, utagongwa tu hata ukiwa na hilo jiwe! Kwa kawaida jiwe hilo hufyonza sumu ikitokea umengatwa na nyoka. Unachanja na unabandika na kulifungia hilo jiwe kwenye hizo chale!