Niking'atwa na nyoka usiku nifanye nini?

Njia za kuzuia nyoka ndani,bustanini au mashambani ni nyingi Sana ni kujifunza zaidi
 
Attachments

  • Screenshot_20210113_173839.jpg
    Screenshot_20210113_173839.jpg
    68.8 KB · Views: 5
  • Screenshot_20210113_173854.jpg
    Screenshot_20210113_173854.jpg
    98.4 KB · Views: 5
  • Screenshot_20210113_173922.jpg
    Screenshot_20210113_173922.jpg
    83.1 KB · Views: 3
  • Screenshot_20210113_173734.jpg
    Screenshot_20210113_173734.jpg
    78.6 KB · Views: 3
  • Screenshot_20210113_173815.jpg
    Screenshot_20210113_173815.jpg
    84.1 KB · Views: 3
  • Screenshot_20210113_173952.jpg
    Screenshot_20210113_173952.jpg
    90.6 KB · Views: 3
  • Screenshot_20210113_174036.jpg
    Screenshot_20210113_174036.jpg
    89.5 KB · Views: 5
Kama unataka kuingia porini ambapo zipo shughuli zako au unataka kufanyia shughuli zako na ipo hofu ya nyoka hatari mfano kobra, koboko,nk mbali,wapo wataalamu wa asili wanayo mawe unayaweka mfukoni nyoka awasogei,au zipo spray maalumu ukipata awasogei awapatani na harufu hio.waweza tumia vifaa vya solar snake stopper,au unavaa helmet yenye miwani Ili kukinga kichwa na uso na mavazi ya kufundishia mbwa Ili kukukinga na meno yake yasifike mwilini na unavaa mabuti mguuni,hapa unakua salama zaidi.

Kwa nyumbani pia fuga mbwa na PAKA pia usaidia.Paka uzuia nyoka yeyeto ,pia epuka uwepo wa panya kwenye makazi au shambani
 
Tafuta jiwe la nyoka linazuia kuumwa na nyoka.
Siyo kweli! Kugongwa, utagongwa tu hata ukiwa na hilo jiwe! Kwa kawaida jiwe hilo hufyonza sumu ikitokea umengatwa na nyoka. Unachanja na unabandika na kulifungia hilo jiwe kwenye hizo chale!
 
Siyo kweli! Kugongwa, utagongwa tu hata ukiwa na hilo jiwe! Kwa kawaida jiwe hilo hufyonza sumu ikitokea umengatwa na nyoka. Unachanja na unabandika na kulifungia hilo jiwe kwenye hizo chale!
Pana jiwe la aina mbili la kuzuia kugongwa na nyoka na la kuondoa sumu ya nyoka hapa ni mawe mawili tofauti
 
Wadau wamedadavua hasa, hata Mimi nimefaidika sana, nataka nikaweke kempu porini nilikuwa nawaza hao wadudu hatari, juzi kati nimemkili mmoja mbishi hataki kukimbia pamoja na kumtisha, hao wadudu wanajiamini na sumu yao ila hawana uelewa kuwa binadmu ana akili nyingi na vifaa vingi vya kumuangamiza.
Hivi ukiwa na ACID conc huwezi kumyeyusha kwa spray pump ?
 
Tumepewa akili za kuwatawala viumbe vyote
 
Mkuu ukifika huko tafuta wenyeji salimiana nao. Kuwa mtu wa kuongea vizuri na watu. Utaepuka kuumwa na nyoka watu.
Pia wao wenyewe watakusaidia namna ya kujikinga na nyoka wa kawaida.
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom